Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
454
Reaction score
636
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.

Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.

Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.

Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?

an142367564worshippers-at-w.jpg
an142365886epa06570934-pari.jpg
an142369082epaselect-epa065.jpg
an142402637newfoundland-pa-.jpg
an142392089newfoundland-pa-.jpg
 
Kwa kweli hatujuwi tunapokwenda na hizi Imani, hata watoto wangu wasipoenda Kanisani wala siwaki kama zamani, maana wanapoona vituko vya hao manabii, hasa yule aliyezaa na binti wa shule (twice)! Kutengwa kwa wakatoliki na hata kukataliwa kuzikwa kiimani, kisa jumuiya na dhihaka kama hizi za kubeba masilaha ya kivita huwa nakosa majibu, kwa kweli Wakristo tunapitia wakati mgumu sana na Imani zetu..
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
 
dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Peleka ushenzi huko kwenye makambi..

Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??

Hebu wacha ushenzi wewe...
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
hiyo nayo ni part ya babilon tu
 
Umesema kweli yote ubarikiwe sana mtumishi
 
Mi naamini kuna supernatural power ambayo imepelekea kuwemo kwa dunia hii na kuwepo kwa viumbe hai akiwemo binadamu. Najua kuna source ya yote haya na ndio ninayoiamini

Ni mseminary mzuri tu mimi ila muda mwingi huwa nawaza nje ya boxvna kuona kuwa hizi dini zinatudanganya tu na kutunyonya. Ni propanganda zisizo na maana.
 
Back
Top Bottom