Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Al imran 19

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
 
Qur an .al maida 116
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu(yesu)!Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) (yesu)atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.

Ndugu zangu wasio waislam nakuusieni msimshirikishe mungu na chochote yesu hawezi ata kuumba mbu jamani
 
Hizi dini zilizoletwa na meli sisi waafrika hazituhusu.
Ni kwa vile Waislam watu wengi hawawafuatilii hata wao wa sects nyingi ukiachilia mbali Shia na Sunni bado wana vijikundi vingi mara wengine wanafunga swala kifuani wengine tumboni. Na wao wanaamini kati ya wote ni kundi moja tu litakaloingia peponi yani siyo Waislam wote.
 
Mkuu mi nimeelewa tu ile sehemu iliyoandikwa kwa kidhungu, hao wanapinga sheria ya bunduki nchini Marekani sio kwamba wameenda na silaha kanisani. Kitu kingine mkuu hizi dini ziache tu kama zilivyo kama huzielewi usijaribu kutafuta kuzielewa. Ntakupa mfano,Sehemu nyingi duniani inaaminiwa uislam ni dini yenye misingi ya itikadi kali, kwamba waumini wake wanalazimishwa kuishi katika mtindo fulani wa maisha, hapa nalenga ile tabia ya kuwaita wengine makafiri. Tukirudi nyuma sana miaka ya 1600 kuliwahi kuwa na vita iliyoitwa ZARA WAR, vita hii ilipiganwa baina ya wakristo na wasio na dini, wakristo walitumia uchinjaji kama adhabu kwa waliopinga kujiunga na dini yao, hayo mambo yalitokea zamani sana kiasi kwa sasa hakuna anaejali. Pointi yangu ni kuwa anaeona waislamu wabaguzi, magaidi akumbuke wanaishi katika moja ya hatua ziizopitiwa na ukristo.
 
Baki na imani yako mkuu kuhusu talaka ,michango na mengineyo hate kwenu kwenye uislam yapo Tena huko yapo mengi machafu unafiki ,wake wengi pasipo maelezo itikadi Kali ugaidi ufilaji kutoka kwa wale waarabu migorogoro ya sun na Shia nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kweli mshenzi, Yale yale waliyoyatunga wanadamu werevu na kudai wamevuviwa na uwezo wa roho mtakatifu ndiyo anayoyaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani kasingiziwa tu, hakuna kiumbe kama hicho duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, dini yaweza kuwa na mafundisho ya matendo mabaya tu na sio lazima mazuri tu. Dini ni mfumo wa imani, yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wa dini wewe unaupimaje??
 
Mungu yupo ....100% tatizo watu hamna akili kubwa ya kutambua na kupima mambo na kuchakata logic...mfano wewe umeshindwa kujua tofauti ya uwepo wa mungu na dini ...maana hata pasipo dini mungu yupo ...tatizo lenu mnadhani dini ndiyo mungu mnasahau kuwa vipo viumbe vingi ambavyo aviwajibiki kidini ila ni mali ya mungu ...tena mungu angeweza kuumba binadamu pasipo kumpa dini bado angekuwa ni mungu tu ...mungu si mungu wa dini ...mungu ni mungu wa yote ...hiyo super nature ndiyo mungu mwenyewe kitu wanasayansi wanachobisha ni kwamba wao wanasema hiyo super nature haina ufahamu ni nguvu zisizo jitambua ila dini zinasema hiyo super nature inajitambua na ina ufahamu ,, tofauti hipo hapo .....tena kisayansi hiyo super nature wao wanaitambua kuwa ni (Energy) kidini ni (Spirit ) neno( ENERGY )NDIYO NENO( SPIRIT)
 
Bora ukristo kuliko dini ya Mwamedi... mwamedi Malaya yule..kaoa sana na kufila watoto wadogo
 
Kenge wewe .dini ambayo mtume Muhammad alioa binti wa miaka 9..dini ambayo mfuga majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…