Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dini zilizoletwa na meli sisi waafrika hazituhusu.Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
kwahiyo nkikuchinja fresh tuuVita yetu sio ya damu na nyama ,vita yetu ni yakiroho tu
Baki na imani yako mkuu kuhusu talaka ,michango na mengineyo hate kwenu kwenye uislam yapo Tena huko yapo mengi machafu unafiki ,wake wengi pasipo maelezo itikadi Kali ugaidi ufilaji kutoka kwa wale waarabu migorogoro ya sun na Shia nkNi maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Huyu kweli mshenzi, Yale yale waliyoyatunga wanadamu werevu na kudai wamevuviwa na uwezo wa roho mtakatifu ndiyo anayoyaaminiPeleka ushenzi huko kwenye makambi..
Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??
Hebu wacha ushenzi wewe...
Shetani kasingiziwa tu, hakuna kiumbe kama hicho dunianiUkiristo ni njia yente mafundisho ya mungu wa ukweli. Na mafundisho hayo yako kwenye kitabu takatifu yaani biblia. Unapokwenda kanisani hufuati matendo ya mtu bali kusali na kujifunza mafundisho ya mungu. Usifuate matendo ya kiovu yanayofanywa na baadhi ga viongozi wa dini. Wengine wanatumiwa na shetani ili kuupaka matope ukristo. Shatani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya mungu.
Sio kweli, dini yaweza kuwa na mafundisho ya matendo mabaya tu na sio lazima mazuri tu. Dini ni mfumo wa imani, yoyote ileDini ni mfumo wa maisha ya kila siku ambayo itamfanya mwanaadamu afanye matendo yote mema na kuwacha matendo yote mabaya
Wachana na hao akina nabii tito wewr jikite katika kufanya matendo mema tu na kuacha yooote mabaya hio ndo dini sahihi mkuu
Unaweza kuwa mkristo na usifanye matendo madhuri na vile vile unaweza kua muislamu na usifanye matendo mazur
But ukiwa unafanya matendo mazur bas hio ni zaid ya dini
Mungu yupo ....100% tatizo watu hamna akili kubwa ya kutambua na kupima mambo na kuchakata logic...mfano wewe umeshindwa kujua tofauti ya uwepo wa mungu na dini ...maana hata pasipo dini mungu yupo ...tatizo lenu mnadhani dini ndiyo mungu mnasahau kuwa vipo viumbe vingi ambavyo aviwajibiki kidini ila ni mali ya mungu ...tena mungu angeweza kuumba binadamu pasipo kumpa dini bado angekuwa ni mungu tu ...mungu si mungu wa dini ...mungu ni mungu wa yote ...hiyo super nature ndiyo mungu mwenyewe kitu wanasayansi wanachobisha ni kwamba wao wanasema hiyo super nature haina ufahamu ni nguvu zisizo jitambua ila dini zinasema hiyo super nature inajitambua na ina ufahamu ,, tofauti hipo hapo .....tena kisayansi hiyo super nature wao wanaitambua kuwa ni (Energy) kidini ni (Spirit ) neno( ENERGY )NDIYO NENO( SPIRIT)Mi naamini kuna supernatural power ambayo imepelekea kuwemo kwa dunia hii na kuwepo kwa viumbe hai akiwemo binadamu. Najua kuna source ya yote haya na ndio ninayoiamini
Ni mseminary mzuri tu mimi ila muda mwingi huwa nawaza nje ya boxvna kuona kuwa hizi dini zinatudanganya tu na kutunyonya. Ni propanganda zisizo na maana.
Bora ukristo kuliko dini ya Mwamedi... mwamedi Malaya yule..kaoa sana na kufila watoto wadogoNi maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?
Kenge wewe .dini ambayo mtume Muhammad alioa binti wa miaka 9..dini ambayo mfuga majiniAl imran 19
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.