Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Wengine tukitoa michango yetu tunaweza tukachafua hali ya hewa sasa humu Jamvini na nchi ikasimama. Ngoja nijinyamazie tu Mimi japo moyoni nina Hasira ambayo naiona kila sekunde inazidi tu kupanda.
Sema tu mkuu maana ukikaa nalo moyoni litazidi kukuchefua na usipolitoa unaweza kuwa unawanyima watu kitu chakujifunza
 
Tatizo lenu moja tu..
Mmejitwika utakatifu sana na kuona wakristu wengine haswa wakatholiki kuwa wameshaandikiwa hukumu ya kwenda motoni na ninyi watakatifu wote mbinguni..
Hili limewafanya muwafundishe wafuasi wenu chuki sana yaani msabato adui yake wa kwanza ni mkatholiki kuliko hata shetani mwenyewe

Wakristu wengi tumesahau kuhubiri injili kwa watu wasioijua kabisa badala yake imekuwa ni mchezo wa kugombania waumini wa madhehebu mengine achilia mbali hayo makanisa yanayoibuka kama uyoga na kujiita ya kinabii ...Mungu anawaona asee

Uislamu wenyewe una madhehebu hivyo haupo straight ndo maana una madhehebu ..hao washiha na wasuni sijui walitengana kwa lipi... nimeliongelea though its non of my business

Cha msingi amini unachoamini na ukiishi kama ikupasavyo ....
 
Uko kama mimi mkuu
 
ni siku za mwisho wa dunia mzee.Manabii wa uongo wametapakaa kila pande za dunia.Hii haimanishi imani ya kikristo haipo.Ushetani upo na unafanya kazi kwa muda wake
 
We nawe unaaleta usabato tu.Mwingine atakuja na dini yake akiitetea huku asijue malengo yake
 
Ukiristo ni njia yente mafundisho ya mungu wa ukweli. Na mafundisho hayo yako kwenye kitabu takatifu yaani biblia. Unapokwenda kanisani hufuati matendo ya mtu bali kusali na kujifunza mafundisho ya mungu. Usifuate matendo ya kiovu yanayofanywa na baadhi ga viongozi wa dini. Wengine wanatumiwa na shetani ili kuupaka matope ukristo. Shatani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya mungu.
 
baba umemshukia kwa ghadhabu mhurumie
 
Wengine tukitoa michango yetu tunaweza tukachafua hali ya hewa sasa humu Jamvini na nchi ikasimama. Ngoja nijinyamazie tu Mimi japo moyoni nina Hasira ambayo naiona kila sekunde inazidi tu kupanda.
tatizo wewe ni mwanasiasa na hutoa maoni yako kisiasa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…