Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

Na huu ndio ukweli wenyewe kabisaa. Mkuu mwenyewe anacho jua ni kusafiri tu majuu kwa mazungu
 
Acha walie sana, wanakopa kwa ajili kushona magauni..
 
Wengi nadhani wanakuwa wameandika dhamana zao kuwa ni vitu vya ndani..ndo mana vinachukuliwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…