Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

Hata kazi nazo sinasumbua ikifika Monday kila mtu kakasirika ila Friday happy happy tu😂😂
 
Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu.

Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
Ndoa ni njia mojawapo ya kunufaika by proxy
 
Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu.

Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
Sijui ni mimi ndio sijaielewa content yako nikianisha na kichwa cha habari ama vipi.?! Zikoje, hayo mateso mbona hujayainisha?
 
Moja kati ya hoja Iliyonifanya niwepo humu ni wale vijana wa #KataaNdoa Wananipa raha balaa
 
Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu.

Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲

Bado hujafaham concept ya ndoa ni nini. Basicaly hakuna ndoa perfect, not sunshine and rainbows all day
 
Back
Top Bottom