Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

Je tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Michezo ni uchumi, ajira, utalii, uwekezaji na biashara. Kwa hiyo Mhe. Rais anachofanya ni kitu kikubwa mno. Umewahi kujiuliza ni watu milioni ngapi ndani na nje ya Afrika walitazama final ya Yanga Vs Alger? Yanga Tanzania huoni faida yoyote? 🙏🙏🙏
 
Haya ndo mambo yetu Watanzania kila kitu kujua, kupinga etc.

Yanga kufika Mbali ni Cheap advertisement, Nchi kama Rwanda zinatumia Bilioni zaidi ya 120 kuwa kwenye jezi ya Arsenal, ila Serikali yetu kutoa milioni kadhaa ni Nongwa.

yanga na simba wanavyoitangaza Nchi thamani yake ni Mabilioni sio kitu ambacho unaweza kukinunua kirahisi, Serikali kujipenyeza na yeye ni sahihi kabisa kuliko kuteketeza Mabilioni kujitangaza nje ya Nchi.
 
Michezo ni uchumi, ajira, utalii, uwekezaji na biashara. Kwa hiyo Mhe. Rais anachofanya ni kitu kikubwa mno. Umewahi kujiuliza ni watu milioni ngapi ndani na nje ya Afrika walitazama final ya Yanga Vs Alger? Yanga Tanzania huoni faida yoyote? [emoji120][emoji120][emoji120]
Jibu swali hayo mengine baadaye. Nyie ndo darasani mlikuwa mnakwenda chaka kwa ujinga wenu. Swali liko wazi wewe unaanza kujibu swali linalokuka kichwani mwako
 
Mmmmmm wakikujibu hili nawe jibu lile la yule kugawa fedha kwa wananchi wakati wa ziara yake,je alipitisha bajeti ile wapi?
 
Back
Top Bottom