mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
🤣Nimejaribu kukuelewa ila nikashindwa nikafurahi tuKwani hayo siyo matumizi? Au matumizi ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Nimejaribu kukuelewa ila nikashindwa nikafurahi tuKwani hayo siyo matumizi? Au matumizi ni nini?
Huna hela ya Kibatala sioKuna kitu nilitaka kusema ila Roho inagoma
Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Nchi ambayo hata watu hawajui ipo wapi kwenye Ramani Inatangazwa kwa Namna nyingi tu, Asilimia Kubwa ya Watu duniani hawajui kama Kuna Nchi inaitwa Tanzania, ni Rahisi hata Kenya kusema Mlima Kilimanjaro upo kwao sababu hatujulikani.Yanga kaitangaza nchi kwalipi ukilinganisha na ujumbe wa Visit Rwanda kwenye jezi za Arsenal,uoni kama ni vitu viwili tofauti? Sisi tunavivutio vingi kipi ambacho kimetangazwa kuputia Yanga.
Acha maswali ambayo hata mtoto hawezi kuuliza.unafahamu Rais wetu alianza lini utumishi wa umma? Unafahamu amefanya kazi Taasisi ngapi? Amekuwa Waziri na mbunge kwa muda gani? Kwa hiyo kwa akili zako unafikiri hela hiyo anayoitoa mh Rais wetu mpendwa kutoa hamasa na kuleta morali kwa club na wachezaji wetu inaweza kumshinda? Unafikiri Hana hela hiyo? Kwani akitoa na kuwazawadia wachezaji na club zetu inazuia vipi yeye na serikali Yake kututumikia na kutupatia huduma watanzania? Lini ulisikia kuwa hospitali na shule zimefungwa kwa kukosa watumishi kwa kuwa Rais amewapa yanga au Simba zawadi?
Hujuwi kuwa michezo inachochewa secta ya utalii na biashara hapa nchini? Pesa na mabillioni mangapi yamewekezwa na wawekezaji katika michezo? Unafahamu Kodi kiasi gani inayokusanywa kutoka katika michezo? Unafahamu mabillioni mangapi yataingia katika benki za ndani ya nchi yetu pale club zetu zitakapo fanya vyema kimataifa? Hujuwi pesa ikiwepo ya kutosha benki Ina faida katika uchumi wetu? Hujuwi watu watakopa kupitia benki na kuongeza mzunguko wa fedha mitaani? Hujuwi watu watafungua biashara na kuongeza wigo wa Kodi? Hujuwi serikali utapata Kodi? Hujuwi fursa za ajira zitaongezeka kwa vijana kupitia michezo?
Hujuwi club zikifanya vyema zitapelekea biashara ya jezi kufanya vyema mitaani? Je hujuwi biashara hizi zitaongeza mapato ya kikodi?
Acha umbumbumbu wewe na kuandika tu mambo yasiyo ya msingi.mwache Rais wetu mzalendo na mchapa kazi aendelee kututumikia watanzania,Tunamuunga mkono na tupo tayari kumpa ushirikiano wetu
Katiba Mpya ni LazimaJe, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Jina lake linahusiana nini na malipo ?Weka jina lako kamili tukuambie zilikotoka kama hujui.
Jibuni swali nyinyi chawaMichezo ni uchumi, ajira, utalii, uwekezaji na biashara. Kwa hiyo Mhe. Rais anachofanya ni kitu kikubwa mno. Umewahi kujiuliza ni watu milioni ngapi ndani na nje ya Afrika walitazama final ya Yanga Vs Alger? Yanga Tanzania huoni faida yoyote? [emoji120][emoji120][emoji120]
HakikaKatiba Mpya ni Lazima
😆😆😆Mbona matumizi hayo ya ghafla yapo mengi, leo nimesoma mahali ndege imetolewa bure kupeleka hao washindi Mbeya eti wanamalizia mafuta yaliyobaki ya ndege iliyowapeleka Algeria
Acha tu ndugu yanguHuna hela ya Kibatala sio
Simba wana shida voucher ......ni budget ya mama ipo ilipitishwa na bunge......Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Sioni baya kweny support ya michezo pamoja na hayo ukipiga hesabu ni pesa ndogo san, jus'imagine zile Trillion hazikuidhinishwa na bunge bas walau tujue zilitumikaje lkn wap!!!Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Ndugu yangu nakuheshimu sana! Sijawahi kuvunjia heshima wala mtu yeyote humu. Kuniita chawa ktk mjadala si sahihi. Asante.🙏🙏🙏Jibuni swali nyinyi chawa