Hivi hizi R na L zimetukosea nini?

Msituchanganye asee, wengi wenu mnatabia za hovyo, hata katika nyuzi za watu humu, utakuta badala ya kutoa hoja au koment, mnaanza kujudge uandishi wa mtoa thread jambo ambalo si zuri.

Nishawai sema, humu kila mtu na uelewa wake na level yake ya usomi, msizani wote tuko sawa.

Kuna la7 humu, kuna form4 failures, kuna high school failures bila kusahau kuna akina nyie wasomi wa University/ colleges,

We are not the same, pia kuna wale wazee wa lugha nyingi, hawa kukosea lugha moja kiuandishi si kosa sana maana kujua lugha zaid ya4 kiufasaha si jambo dogo, naposema lugha4 simaanishi lugha zetu za asili No, nazungumzia Chinese lang, English lang, le français lang, German lang, Spanish lang, Dutch& Turkish lang.

Msijione wasomii saana kwa uzingativu wenu kwenye kilugha kimoja ambacho bado ni USELESS huko dunian, kikubwa tuheshimiane, ukiona mtu anakosea usimkwaze, chamuhimu umeelewa alichokuwa anamaanisha, ukitaka asahihishe maandiko basi mlipie ada, tuache ujinga,VICHWA VINAMAMBO MENGI
 
Lizika kwamba twajua andika loho mbaya tu
 
Hoja zako za msingi sana, lakini nilipofikia hapo kwenye USELESS!!!
 
Naunga mkono hoja,binafsi huwa tabia hii inanishangaza sana,sio tu humu ila ni sehemu nyingi sana,hata baadhi ya waburudishaji ambao wapo juu kwenye Tasnia yao mfano Wasanii,tatizo hili nalionaga hata kwa Harmonize na Jux,naomba tuwe mabalozi wazuri wa lugha yetu hii.
 
Ahsante muheshimiwa, binasfi nimejikita kurekebisha swala hili.
 
Sasa mkuu, kama huna hela, unadhani kingereza chako kitakuwa useful? Sio kwamba kitabaki kwa ajili ya kuchanganyia chorus bar? [emoji850]
Hivi umeelewa ni lugha gani jamaa aliita USELESS? Au umekurupuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…