Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Aiseeee.... 🤣 🤣 🤣 🤣Nchi hii Ni tajiliiiiiiiiiiiiiiii
Utapigwa double Banned....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee.... 🤣 🤣 🤣 🤣Nchi hii Ni tajiliiiiiiiiiiiiiiii
Yaani huko ni shida mkuu!!Ingia facebook ujionee maajabu ya dunia
Dah! Bado hatujapata uhuru!Yaani huko ni shida mkuu!!
Shida kubwa ni mfumo wa elimu yetu.Dah! Bado hatujapata uhuru!
Yawezekana tatizo likawa hapa, ila hapana aseee!!!Shida kubwa ni mfumo wa elimu yetu.
Lizika kwamba twajua andika loho mbaya tuSipati picha kama JF wangekuwa wameandika jina lao kama "Jamii Folums" ingekuaje.
Au jukwaa hili jina lingeandikwa "Habali na Hoja mchanganyiko sijui ingekaaje hiyo.
Inaeleweka kwamba kila mmoja ametoka maeneo tofauti, hivyo lugha zetu za mama zinaweza kuchangia namna tunavyoweza kutamka na kuongea lugha nyingine, hilo linaeleweka.
Tafrani inakuja kwenye swala zima la kuandika. Kutamka ni rukhsa kukosea, lakini kwenye kuandika, hilo halina mjadala.
Tusipokosoana, matokeo yake hata waandishi wetu wa magazeti na vyombo vya habari na watunzi wa riwaya wataendekeza kosa hili na kupoteza ladha ya lugha.
Utakuta mtu kaandika maneno mengine kwa kuweka hizi herufi vizuri na kwenye sentensi hiyo hiyo kachemsha maneno mengine, hii inamaana amezoea kuona mtu anaandika neno flani kwa kukosea, kwa hiyo anaona ni sawa. Ndio maana shuleni kulikuwa na zoezi la imla.
Siku hizi hata walimu wamezoeshwa na waliokuwa walimu wao, hivyo kupelekea kutokuona hili katika kusahihisha wanafunzi.
Binafsi, nitakuwa nikiingia humu halafu nikute umelipua L na R....sikuachi.
Tukiendekeza tabia hii, hata hichi kiswahili tunachojivunia tutakipoteza.
Hoja zako za msingi sana, lakini nilipofikia hapo kwenye USELESS!!!Msituchanganye asee, wengi wenu mnatabia za hovyo, hata katika nyuzi za watu humu, utakuta badala ya kutoa hoja au koment, mnaanza kujudge uandishi wa mtoa thread jambo ambalo si zuri.
Nishawai sema, humu kila mtu na uelewa wake na level yake ya usomi, msizani wote tuko sawa.
Kuna la7 humu, kuna form4 failures, kuna high school failures bila kusahau kuna akina nyie wasomi wa University/ colleges,
We are not the same, pia kuna wale wazee wa lugha nyingi, hawa kukosea lugha moja kiuandishi si kosa sana maana kujua lugha zaid ya4 kiufasaha si jambo dogo, naposema lugha4 simaanishi lugha zetu za asili No, nazungumzia Chinese lang, English lang, le français lang, German lang, Spanish lang, Dutch& Turkish lang.
Msijione wasomii saana kwa uzingativu wenu kwenye kilugha kimoja ambacho bado ni USELESS huko dunian, kikubwa tuheshimiane, ukiona mtu anakosea usimkwaze, chamuhimu umeelewa alichokuwa anamaanisha, ukitaka asahihishe maandiko basi mlipie ada, tuache ujinga,VICHWA VINAMAMBO MENGI
Sasa mkuu, tumekokosea nini?Lizika kwamba twajua andika loho mbaya tu
Tit for tat ugoko Kwa ugokoIngekuaje [emoji777] Ingekuwaje [emoji736]
Swala zima [emoji777] Suala zima [emoji736]
Hata hichi [emoji777] hata hiki[emoji736]
Anza wewe kujifunza uandishi kwanza.
Ahsante muheshimiwa, binasfi nimejikita kurekebisha swala hili.Naunga mkono hoja,binafsi huwa tabia hii inanishangaza sana,sio tu humu ila ni sehemu nyingi sana,hata baadhi ya waburudishaji ambao wapo juu kwenye Tasnia yao mfano Wasanii,tatizo hili nalionaga hata kwa Harmonize na Jux,naomba tuwe mabalozi wazuri wa lugha yetu hii.
Hainaga ubaya hii, ni business, sio personal.Tit for tat ugoko Kwa ugoko
Namba tatu , mtowa mada hayupo sahihi.Upo sahihi na yeye yupo sahihi!
Sasa mkuu, kama huna hela, unadhani kingereza chako kitakuwa useful? Sio kwamba kitabaki kwa ajili ya kuchanganyia chorus bar? [emoji850]Hoja zako za msingi sana, lakini nilipofikia hapo kwenye USELESS!!!
Swala (x) Suala (✓) [emoji850]Ahsante muheshimiwa, binasfi nimejikita kurekebisha swala hili.
Swala❌swala zima la kuandika. Kutamka ni rukhsa kukosea, lakini kwenye kuandika, hilo halina mjadala.
Flani❌neno flani kwa kukosea,
Hichi❌Tukiendekeza tabia hii, hata hichi kiswahili tunachojivunia tutakipoteza.
Hivi umeelewa ni lugha gani jamaa aliita USELESS? Au umekurupuka tu?Sasa mkuu, kama huna hela, unadhani kingereza chako kitakuwa useful? Sio kwamba kitabaki kwa ajili ya kuchanganyia chorus bar? [emoji850]