Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

Sugar mumy - Mshangazi -Next nick name!
 
Wacha kulialia kijana tulia kubulokiwa ni kawaida ktk maisha...πŸ˜‚
Hahahaha uzuri mmoja situkani mtu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wanajitunza kaka, hawataki kuharibu ujana wao....πŸ˜‚
Mimi sidharau mwanzo mdogo ila kwa mlevi mwenye akili kutunza pesa sio njia ya kupata pesa na michongo zaidi vijana wanapaswa kusoma alama za nyakati zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…