Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

huo mashangaz unaojiuza,
 
Sijui Vanessa yupo wapi jamani. Corner imekufa dooo
 
Ina wivu mkali sana..plua majotooo
 
"Mishangazi ipo ila imekua overrated sana

Wengine sio mashangazi ni wanawake waliokosa option mfano mtu anamdate mama ntilie, mama muuza mihogo & vifurushi, mama mfua na mpika vitumbua" kuna mzee aliwahi nambia hvo
Kwahiyo mama fua sio shangazi?😭😭😭
 
Mkuu unaona kamserereko wanapata wao tu, na wewe unakataka
Dah kweli hali inazidi kuwa ngumu
 
Mishangazi ipo.,. Hata kama ina uwezo, lakini huwa ina date wanaojiweza kidogo, wenye dira pia. Hawadeti mtu mchovuchovu tu asiye na mbele wala nyuma.
 
usi usingejibu huu uzi ningekukodia mgambo,...haya twambie BICHWA KOMWE yuko wapi...?🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…