Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mahindi chakula cha mifugo, sasa huko Boston hakuna mifugo. Wali utakula. Pia katafute mikahawa ya watu toka Africa.Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani,nimejaribu kucheck vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano..so nauliza wenye experiences za huko,hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?