Wazungu wote duniani staple food yao wengi ni vyakula venye asili ya ngano hasa hiyo mikate, cakes,pizza na mengineyo sio usasa ketu huku ndo usasa. Dah hapo tafuta restaurants za wanigeria au wakongo lasivyo ni mwendo wa nganoNina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.
So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?