Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

Mahindi chakula cha mifugo, sasa huko Boston hakuna mifugo. Wali utakula. Pia katafute mikahawa ya watu toka Africa.
 
ze fix is this..🤣

Ingawa sio niliyepost.....Sio fix kabisa Mkuu...

Hii ni African Market jirani yangu.....Dagaa....Sembe......Kisamvu.......Samaki wa kukausha........products nyingi za Kenya/Nigeria/Ghana zinapatikana hapa...



Eli's African Market | African Food Store in McKinney​


Eli’s African Market
https://elisafricanmarket.com



Eli’s African Market | African Food Store in McKinney. Areas Covered. Collin County. Eli's African Market. 1434 N. Central Expy #102. McKinney. Texas. 75070. +1 214-842-8121Directions.

Products · ‎About Us · ‎Contact Us · ‎Our Team
 

Vipo vyakula vingi tu ni wewe na pesa yako, ugali hakuna (labda ununue unga usonge), wali wa kubahatisha (unaweza nunua mchele ukapika)...

By the way utafikia address ipi usaidike kwenye kucheck food stores au restaurants za karibu zenye vyakula vizuri...
 

Sasa McKinney si TX mkuu, na uzuri wa Texas kuna diversity kubwa...
 
Mkuu ughaibuni siku hizi unakula milo ya asili yako ukitaka. Kuna restaurants zinapika cuisines mbalimbali za mataifa mbali mbali. Humo US ukifika wewe tafuta Swahili Restaurants maana Wakenya wamejaa humo wana hizo biashara unakula ugali mlenda fresh tu kama upo Kishimbenzobe.
 


Angalia mihogo......Plantini kwa wingi....
 
Huwezi kukosa mashine za kusaga mahindi ujipikie ugali na majani ya maboga, maharage ni mengi ila sina uhakika kama dagaa na nyanya chungu vinapatikana.
 
Marekani hata ukitaka tembele utapata mkuu, Chakula ch
a kila nchi
Marekani hata tembele utapa, kisamvu hata ukitaka chakula kutoka India utapata
 
Mkuu bora umenisaidia mtu yuko gongo la mboto nae anataka kubishana😁😁😁
 
Kwahiyo huko ugali, wali nikama vile umeenda KFC ya Huku ulivo Adim
 
Wambie Wamarekani kuwa Prof Janabi anawacheck tuu….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…