financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
We jenga nyumba ya size yako, achana na mijengo ya wengine, kwani watakufanyaje bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una mawazo kama yangu yani.niache uvivu eid el fitr niende mbweni nikapaone mana sifa zimezidi
Mwaka 1998 kariakoo hakukuwa na KIWANJA kinachouzwa plain na hata ukirudi 1988 pia hakukuwa na kiwanja kariakoo kinachouzwa plainKuna jamaa angu anajilaumu hadi leo hii kushindwa kununua Kiwanja Kariakoo miaka ya 98, anasema alipata mtu anataka kumuuzia bei nzuri lakini alikataa.
Leo hii 2024 huwezi kumudu gharama ya Kiwanja Kariakoo [emoji119]
twende ndugu yangu mbweni tukashangae shangae hekalu za matajiriuna mawazo kama yangu yani.
Nakubaliana na wewe, alipata kibanda cha Mzee mmoja ambaye alikuwa anahitaji Hela ya matibabu by thenMwaka 1998 kariakoo hakukuwa na KIWANJA kinachouzwa plain na hata ukirudi 1988 pia hakukuwa na kiwanja kariakoo kinachouzwa plain
Mwananyamala yenyewe acha magomeni viwanja plain vilianza kuuzwa miaka ya 60
Hata hizo squatter area unaziona Katikati ya jiji like Tandale keko nk viwanja vilipatikana kuanzia miaka ya 70
miaka ya 98 ni juzi sana na bado kariakoo ilikuwa juu japo nyumba za miti udongo(zilipigwa plasta na Cement zilikuwa nyingi) maghorofa machache
Labda useme alipata BANDA kwa bei nafuu mana miaka hiyo wamiliki wenywe halisi wengi walikuwa wapo hai hvyo alimpata mtu mwenye BANDA lake akataka kumuuzia kwa bei nafuu lakini kwa wakati huo pesa ilikuwa nyingi na huyo jamaa yako lazima alikuwa vizuri laki i si kwa pesa ndogo
Ilikuwa kununua nyumba kkoo ilikuwa lazima uwe kibopa kweli kweli 7bu nyumba moja ukiuza kkoo miaka hiyo ya 98 ulikuwa unaweza kununu nyumba mbili mpk tatu maeneo ya mwananyamala kinondoni au magomeni
Hata Chris Lukosi nae amejenga bonge la mansion mbweni.Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Nusu umtungue na bunduki ukidhani mwizi, au sio?😆😂🤣Ndio wewe ulikuwa unapita hapa kwangu unasimama unashangaa nyumba yangu? Nilikuona
Watajua wenyewe pale ni nyumbani lakini!Hawakusalimii kwa nini? Utaishi kwa shida sana hapo
Nigeria ndio wana majumba mazuri? Kweli unakuwa kile unachoangalia.Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
😂😂😂 Hatari Sana,anashangaa mnoNusu umtungue na bunduki ukidhani mwizi, au sio?😆😂🤣
Mkuu miaka kama kumi iliyopita mbweni kuna watu walisukumizwa huko, yani kama wale waliopelekwa mabwepande, leo hii kanunue plot mabwepande
Haha dada angu nimekumiss siku hizi umekuwa kimya sana humu kulikoni
Mbweni siyo yote ni ushuani kuna mitaa ni uswahilini na viwanja bado vinapatikana kwa bei rafiki kidogo
Japo ni kweli watu wanajitahidi kujenga majumba ya kisasa kuna mtaa ukikatiza unaweza hisi uko beverly hills california
[emoji23][emoji23][emoji23]Anatokea bilionea mmoja eneo tu pekee anakwambia anakupa hata B nzima, then hilo jumba analoliporomosha unabaki kujiuliza kwa mshangao binaadam pesa wanazitoa wapi
Nipo Mdogo wangu...Nilichukua break kidogo humu nimerudi...
Umenikumbusha Kuna sehemu pia Goba huko kunaitwa Goba Maghorofani...Hakuna nyumba ya chini hata moja....nyumba huko ni Maghofa tu.
Sasa Mbweni atahamishwa kwa lazima, mafogo unawajua shangazii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]komaa maisha sio mashindano ila sikuhizi watu wana jenga nyumba nzuri
Mbweni ipi uswahilini? Mie siamini wallah.Haha dada angu nimekumiss siku hizi umekuwa kimya sana humu kulikoni
Mbweni siyo yote ni ushuani kuna mitaa ni uswahilini na viwanja bado vinapatikana kwa bei rafiki kidogo
Japo ni kweli watu wanajitahidi kujenga majumba ya kisasa kuna mtaa ukikatiza unaweza hisi uko beverly hills california
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sehemu kama hiyo ukijenga Kibanda utapewa ujumbe wa nyumba kumi au Mwenyekiti wa serikali ya mtaa maana utaonekana una muda wa kufuatilia mambo ya watu,
Mkuu angalia sana nyumba yako isije kua ya mfano mbaya kwa wageni Yaan wakifika hapo wanaambiwa utaona nyumba ndogo chafu chafu [emoji23],
Uza hapo njoo Kigamboni ule upepo wa bahari bila bughza