Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Mbweni JKT kwa ukubwa huo hahizidi 80m kule kwa Mama viwanja vikubwa ndio 200m

Mkuu unajua bei za viwanja kweli? Kule kwa Mama viwanja vingi vikubwa vinakaribia ekari moja ,anzia kona ya Mama pale hadi kona ya kwenda baharini ,lile eneo la bara bara ya kwanza hadi ya 6 viwanja ni vikubwa sana ,si chini ya 500m.
 
Ina sound good, [emoji122][emoji122]
 
Mtoto wa Kishizow kabisa mtu wa maana kabisa!!! Vipi baba hajakupa hela yeyote mama? Hebu angalia pochi basi hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usifananishe Masaki na Mbweni utakuwa unajizima data.

Masaki ni prime area nyumba unaweza kupangisha Kwa Kodi kubwΓ , Nani akapange nyumba Mbweni?
Mbweni Value yake inaelekea huko huko after several years inakuwa kama Masaki tu sababu ya aina ya wakazi waliojenga huko.
 
Mbweni Value yake inaelekea huko huko after several years inakuwa kama Masaki tu sababu ya aina ya wakazi waliojenga huko.
Hakuna kitu kama hiΓ§ho na haitokaa itokee.

Masaki ni distance chache Sana kwenda City center.

Master plan ya Darisalama tulishaiharibu, kukaa mbali na City center ni tatizo.

Kutumia masaa mawili ndani ya mji mmoja barabarani ni upuuzi.

Hata unipe free accommodation siwezi kukaa Mbweni never.
 
uza figo moja ufanye mambo!!
 
UFISADI UNAOSOMWA KWENYE REPORT YA CAG ndio huo Ujenzi unaouona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…