Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Samahani mkuu, naeza ona mfano wa ramani hiyo! luckyline
 
Mkuukama hutojali naomba hiyo ramani DM nami nijipe stress nayo. Ahsante
Hii ramani naendelea kuitafuta sikumbuki niliiweka kwenye fail lip, nilihamisha vitu kutoka kwenye sim to pc sasa natafuta bado sijafanikiwa ila nitaipata usijali
 
Mbweni Kijijini ni pale center wanapogeuzia magari ya Makumbusho-Mbweni ,Pale walipojazana wapemba/Mamwinyi ukienda Mbele kuna kamto kamepakana na kambi ya Jeshi - Kiembeni ,Pale hapajapimwa ni slum.
Kote huko napafahamu mkuu huko kote ni mtaa wa Maputo ndio mwisho wa lami, sasa mbona huko kuna afadhali mtaa wa Mbweni ndio asilimia kubwa ni uswahilini na ndio kumejaa wamakonde na hao wapemba unaowasema, viwanja ambavyo havijapimwa vipo hata kwenye mitaa ya ushuani mfano Malindi na Mpiji ni ushuani ila kuna viwanja havijapimwa bado
 
Jadda hulali rafiki πŸ€“
 
Hahaha dah .. we jamaa una maneno hatare! , ni kama wandengereko pia walivyouza maeneo yao huko madale na mivumoni..daah! Leo hii Madale na mivumoni inakuja kwa kasi sana
Hahaha wasichoelewa watu mji unatanukia Goba, madaleπŸ˜‚, mbweni kiufupi alongside Bagamoyo Road na huko ni kwa Mid Class Income earners wa kipato cha 50M to 100M annually pamoja na high income earners wa kuanzia 300M na zaidi.


Kilwa road na Pugu road huko ni mchanganyiko wa low class na mid income earners ila kwa ratio wale lower class ni zaidi ya 70 percent. Ndo maana hakuna issue
 
Unapiga kelele sana, unaulizia viwanja na ramani za mbweni halafu huku bonyokwa unataka akae nani 😁
Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa πŸ˜‚ Eyce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…