Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa 😂 Eyce

Ahhh kimara kunakuwaje uchawini brother , usidanganywe na jina brother maana hata mbweni wangekaa wachovu jina lingeonekana baya, so bonyokwa pakikucha mtakuja😁
 
Ahhh kimara kunakuwaje uchawini brother , usidanganywe na jina brother maana hata mbweni wangekaa wachovu jina lingeonekana baya, so bonyokwa pakikucha mtakuja😁
Nazingua tu, beside nili wahi enda kwa Jamaa yangu kajenga kinyerezi kanisani kule.

Aisee Kuna midude ya maana halafu ni Kama Wana test mitambo tu😂.

Watu wame shusha mijengo ya kwenda, ule mtaa wao sio Poa kabisa.
Kwa vichenchi vyetu hapafai kuunga unga 😁.
Nahisi kina Extrovert na Jadda Wana pajua labda!
 
Dar mipango miji waliikosea toka zamani, kila sehemu ina uswazi na ushuani 😁
 
Kama ukubwa wa kiwanja haufiki ekari kumi, huko hakufai kuishi.
Sifa nyingine mbaya sana, una elewa ulicho andika kweli😀.

Kama 40 Kwa ngapi Zina kushinda, hiyo hekari 10 huko mbweni SI utauza Hadi Figo za ukoo wenu na msitoshe🤣😀.

Extrovert , Eyce, oneni hii zuzu mpenda sifa 🤣
 
Akili za kimasikini kabisa, watu wanaishi na wanyama pori ndani au hujui hilo; zunguka uone.
 
Kanisa gani mkuu, Kinyerezi tumeishi muda kidogo tulihamia miaka ya late 2000s kipindi hiko bado kuna mapori, Baadaye ndio watu wakaanza kushusha mijengo na lami zikaanza kuwekwa though tulikuja kuhama miaka ya late 2010s hapo
 
Ni kweli mkuu, ndio maana tuna mbuga za wanyama kila kona, ila tunategemea wazungu ndio waje wazitembelee
Tofautisha kati ya kuishi nao na kuwatembelea kwenye maeneo yao, unaishi nchi gani hiyo ambayo wanaotembelea mbuga za wanyama ni wazungu pekee, kuna matajiri wengi tu na hawana mbuga za wanyama majumbani mwao
 
Watie doa tu mkuu. Nchi huru hii. Usiuze
 
Kanisa gani mkuu, Kinyerezi tumeishi muda kidogo tulihamia miaka ya late 2000s kipindi hiko bado kuna mapori, Baadaye ndio watu wakaanza kushusha mijengo na lami zikaanza kuwekwa though tulikuja kuhama miaka ya late 2010s hapo
kuna sehemu tuli pita Kuna kanisa pale, sija jua ni dhehebu lipi lile.

Ila Niki sikia ni kinyerezi kanisani, pako poa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…