Hivi huku ni kujivuna au?

Hivi huku ni kujivuna au?

Neno kuntu hilii
Na wewe huna gari nn [emoji2] [emoji2], msio na magari kila siku ni lawama ......ooh kapita bila kutusalimia.....Mara katumwagia Maji......ooh gari yake inatutimulia mavumbi .....hebu tulieni anayetujua ni Mungu pekee wewe sikujui hunijui kwaiyo kunielewa si lazima
 
Na wewe huna gari nn [emoji2] [emoji2], msio na magari kila siku ni lawama ......ooh kapita bila kutusalimia.....Mara katumwagia Maji......ooh gari yake inatutimulia mavumbi .....hebu tulieni amatujua ni Mungu pekee wewe sikujui hunijui
Sasa tutulie hutaki tuandike au au,basi utazikwa na magari yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa tutulie hutaki tuandike au au,basi utazikwa na magari yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kututishia kifo Siku hizi kuweka msiba na kulia lia ni kupoteza muda, funeral ceremony companies zote hizi?
 
Wewe ulitaka awe anasimamamisha gari kila mda anamsalimia kila mtu mtaani kwenu .
 
Back
Top Bottom