Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntasalimia lknUtapaaa juuu
Na wewe huna gari nn [emoji2] [emoji2], msio na magari kila siku ni lawama ......ooh kapita bila kutusalimia.....Mara katumwagia Maji......ooh gari yake inatutimulia mavumbi .....hebu tulieni anayetujua ni Mungu pekee wewe sikujui hunijui kwaiyo kunielewa si lazimaNeno kuntu hilii
Sasa tutulie hutaki tuandike au au,basi utazikwa na magari yako [emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe huna gari nn [emoji2] [emoji2], msio na magari kila siku ni lawama ......ooh kapita bila kutusalimia.....Mara katumwagia Maji......ooh gari yake inatutimulia mavumbi .....hebu tulieni amatujua ni Mungu pekee wewe sikujui hunijui
Acheni kututishia kifo Siku hizi kuweka msiba na kulia lia ni kupoteza muda, funeral ceremony companies zote hizi?Sasa tutulie hutaki tuandike au au,basi utazikwa na magari yako [emoji23][emoji23][emoji23]