Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Thinking ya walio wengi humu i afadhali ya darasa la saba unalolidharau.
 
Na kuna wanawake humu wanajiona wanakomenti vizuri, sijui kujiona wana status humu JF, mbaya zaidi kuna wanaume wengine humu wamkaa kishoga uzi ukipostiwa na mwanamke basi yanakuwa kama majibwa koko.


Nikiri kuna Dada mmoja tulifahamiana inbox, tukawa tunachat watsap pia tukachati mida mrefu huku nikiamini utelezi sikosi.


Si akatuma picha zake, na akashare akaunt yake ya IG na mimi nikampa Yangu ya IG

Mtumeeeeee!!!!!

tubakie hivhivi anonymous
 
Kama heshima wawe wanapewa waliosoma sana shule basi kazi ipo!
Busara haiji Kwa kusoma. Kazi anayofanya mwenzako huna haki ya kumcheka. Achoke asichoke it's not your concern. Hujuwi maisha yake na Wala huna haki ya kum judge.
Tumia busara ndugu.
 
Kuishia darasa la saba kuna uhusiano gani na JF? Mbona wapo wengi tu waliishia la saba na wana pesa ndefu.

Hata hivyo kama uliona ana maisha magumu na wewe uwezo unao si umsaidie tu? Kuja kumtangaza hapa inaonesha ni jinsi gani haujakomaa kiakili.
 
Tuliochoka kimaisha, na tusio na elimu wenye kazi za aibu mbona tupo, na mimi ni mmoja wao.
Ninachoshukuru ndiyo kazi niliyo barikiwa nayo na inayoniweka mjini, hivyo usimdharau hivyo huyo dada maana wwngine pia tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…