hahahaha😃😃😃😃😃Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"🤣🤣🤣 Nimecheka mbaya
Huyo ni fala na mshamba, kazi ya mtu yeye inamhusu niniNaomba kuuliza kazi ya aibu ndio kazi gani mkuu?
jibu zuri sana hiliWapo na wana hela kuliko wewe
Sasa kama hata faragha yenu umeshindwa kuiheshimu,wewe si walewale unao wasema🤔Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!
Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.
Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Kwa wewe nakubali ulikuwa jirani yangu ila mtoro wa shule 😂Mi nimeishia la tatu.
Huyo tena hakufanikiwa ndio maana anamwaga upupu humu🤔Wewe umeishia chekechea, hebu angalia hiyo "heading" ya huu uzi wako ulivyoiandika. Sijui ulikuwa unaharakia kunyandua.🤣
aah we nakujua hujafik la nne🤣 ulikimbia shule kwa sababu ya umande darasa la tatu bnilitaka nishangae dear ex unavyoniwaza, me la4 tu nilifeli nikaamua kuacha shule yenyewe 😌
we mi nilifika la4 bhanaaah we nakujua hujafik la nne🤣 ulikimbia shule kwa sababu ya umande darasa la tatu b
umeongea kwa uchungu sanaJf siku hizi ina member wa kipuuzi sana. Wew ndio ulikua unamchukulia kama mtu mzito humu jf, sidhani kama yeye aliwahi kukutamkia kwamba yeye ni mtu mzito. Na bado baada ya kuonana na wew akawa honest kwako! Lakn unachomlipa ni kumletea kejeri hapa jf.....!!!! Kama elimu ya chuo kikuu ndo inawafanya kuwa hivo kweny jamii basi bora niliishia la saba.
Kwanini MWAMEDI alikuwa MFIRAJI wa watoto?Waislam tuna nguzo 6 za imani yetu, unazielewa?
"Musiba huko uliko nataka pesa zangu"!!Kamuulize Membe na msiba, mie inanihusu nini?
Kwani wwe ulikua na picha gani kichwani kabla hamja onana!!??,ebu tuambie japo kidogo!!Na kuna wanawake humu wanajiona wanakomenti vizuri, sijui kujiona wana status humu JF, mbaya zaidi kuna wanaume wengine humu wamkaa kishoga uzi ukipostiwa na mwanamke basi yanakuwa kama majibwa koko.
Nikiri kuna Dada mmoja tulifahamiana inbox, tukawa tunachat watsap pia tukachati mida mrefu huku nikiamini utelezi sikosi.
Si akatuma picha zake, na akashare akaunt yake ya IG na mimi nikampa Yangu ya IG
Mtumeeeeee!!!!!
tubakie hivhivi anonymous