Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"🤣🤣🤣 Nimecheka mbaya
😂😂Mm ndo maana siongeagi kiingereza Huwa kinanipotea nikiwa sijalewa😂😂😂
 
😂😂Mm ndo maana siongeagi kiingereza Huwa kinanipotea nikiwa sijalewa😂😂😂
kuna watu hawawez kuongea kingereza vizuri ila wanaandika vizuri sana. Kuna watu wanaongea vizuri sana ila hawajui kabisa kuandika kingereza😀
 
kuna watu hawawez kuongea kingereza vizuri ila wanaandika vizuri sana. Kuna watu wanaongea vizuri sana ila hawajui kabisa kuandika kingereza😀
Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi😂😂😂
 
Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi😂😂😂
Sasa hata hujataka kujifunza tu. Vitu vingine unajifunza kama hobbies tena ikiwezekana unajifinz lugha hata tatu hivi 😀
 
Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom