dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wee no mpuuz SAS unamtangaza kuwa ulikutana na ili uje umuanike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sijamaliza la tatu nilisoma nusu tuMwachiluwi kaishia la tatu😂💔
😂😂mnanifananisha sana na hao madogo ye34nbe na Binadamu Mtakatifu
Hio nyash Kwa avatar ni vipi😂😂Wee no mpuuz SAS unamtangaza kuwa ulikutana na ili uje umuanike
jikaze narudia tena jikazeHio nyash Kwa avatar ni vipi😂😂
😂😂Mm ndo maana siongeagi kiingereza Huwa kinanipotea nikiwa sijalewa😂😂😂Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"🤣🤣🤣 Nimecheka mbaya
kuna watu hawawez kuongea kingereza vizuri ila wanaandika vizuri sana. Kuna watu wanaongea vizuri sana ila hawajui kabisa kuandika kingereza😀😂😂Mm ndo maana siongeagi kiingereza Huwa kinanipotea nikiwa sijalewa😂😂😂
Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi😂😂😂kuna watu hawawez kuongea kingereza vizuri ila wanaandika vizuri sana. Kuna watu wanaongea vizuri sana ila hawajui kabisa kuandika kingereza😀
Sasa hata hujataka kujifunza tu. Vitu vingine unajifunza kama hobbies tena ikiwezekana unajifinz lugha hata tatu hivi 😀Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi😂😂😂
😀😀Kiingereza Cha kuombea maji kipo 😂😂Sasa hata hujataka kujifunza tu. Vitu vingine unajifunza kama hobbies tena ikiwezekana unajifinz lugha hata tatu hivi 😀
Binafsi nataka mwakani ninifunze lugha mpya either Spanish au French😀😀Kiingereza Cha kuombea maji kipo 😂😂
Hongera sana mm habar za kusoma soma nshachoka kwanza akili zenyew Sina😂😂Binafsi nataka mwakani ninifunze lugha mpya either Spanish au French
Ucjari Dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo unawaza habari za kuolewa au watoto sio bure😀😀Hongera sana mm habar za kusoma soma nshachoka kwanza akili zenyew Sina😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie.Mimi naamini utakua mrembo sio kama Hawa wadada waongo waongo[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tuloidhia la nne B ,tukiwa pekeyetu kichwani kidhungu linakuja kabisa lkn ukitoa sauti kinakuja kimatumbi[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀Aah wapi kuolewa mie bado nakula ugali kwanza home sijafukuzwa 😀hapo unawaza habari za kuolewa au watoto sio bure😀😀
Aunt 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haha 😀 ila wew ni mzuri acha tu ukorofi😀😀Aah wapi kuolewa mie bado nakula ugali kwanza home sijafukuzwa 😀