Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.

JF wote Matajiri...wana simu za milioni 4 ,wanapush maRange ,wamejenga maghorofa
JF Wote wanakaa Prime Areas.....Masaki ,Oysterbay ,Mbweni,Shanty town ,Njiro
JF Wote wasomi.
JF Wote washaishi au Wanaishi UK,US
JF Wote Ni Ma HB au PC Kali.
JF Wote ni wazee wa VITENGO aka UHASAMA wa TAIFA.
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
We unatafuta 'PERSONALITIES' za wadau au 'ELIMU' hapa JF? ... Kishimbe wa Kishimbe anaweza kuwa si chochote Katika jamii inayotuza mafisadi, lakini hiyo haimfanyi anywee na kuacha kujaribu kuirekebisha Dunia, ... japo kwa kuchangia JF!
 
ndio nimejua watu hawana upendo zamani ulikuwa unatumia hata shemeji yako akusaidie kazi za hapa na pale.

yani nahisi naanza kubadilika rangi nakuwa mweusi😀
ndo maana sitaki kabisa kuoa wala kua na mtoto. Najua drama zake.... ila labda nikikua nitabadilika 😂
 
Back
Top Bottom