mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
zinapandaga mpaka kichwani😂Uvumilie kufa hautakufa ila Cha moto utakiona ugumu mbona sio ishu ukiamua tu unaweza 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zinapandaga mpaka kichwani😂Uvumilie kufa hautakufa ila Cha moto utakiona ugumu mbona sio ishu ukiamua tu unaweza 😀
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!
Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.
Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
ngoja nihamie kwenye selfika 🤐 nijichukulie sheria mkononiUvumilie kufa hautakufa ila Cha moto utakiona ugumu mbona sio ishu ukiamua tu unaweza 😀
😀😀Kivumbi Leo😂ngoja nihamie kwenye selfika 🤐 nijichukulie sheria mkononi
haha ukifikia huku nitakuw na wajukuu😀ni mwendo wa kubadilisha nepi 😂
wenzako tumeshamaliz huko tunawaz familia 😀 bado unahangaika na test 1 n test 2mimi sio mzembe kiasi hicho😂
mademu wana roho mbaya sana hata hakuna aliyejitolea kunipa kampani. Walah nabadilisha marafiki kuanzia kitaa, kanisani mpaka huko mbinguni😀mimi sio mzembe kiasi hicho😂
Yani acha tu 😀 awe ngangari inatak roho ngumuzinapandaga mpaka kichwani😂
maisha ni magumu mzee baba no one is your friend 😂mademu wana roho mbaya sana hata hakuna aliyejitolea kunipa kampani. Walah nabadilisha marafiki kuanzia kitaa, kanisani mpaka huko mbinguni😀
😀😀mademu wana roho mbaya sana hata hakuna aliyejitolea kunipa kampani. Walah nabadilisha marafiki kuanzia kitaa, kanisani mpaka huko mbinguni😀
Naona umemjibu mapigo 😆Kuna kazi ya aibu?Ni aibu kama huu uzi umeanzishwa na Mwanaume.
ndio nimejua watu hawana upendo zamani ulikuwa unatumia hata shemeji yako akusaidie kazi za hapa na pale.maisha ni magumu mzee baba no one is your friend 😂
We unatafuta 'PERSONALITIES' za wadau au 'ELIMU' hapa JF? ... Kishimbe wa Kishimbe anaweza kuwa si chochote Katika jamii inayotuza mafisadi, lakini hiyo haimfanyi anywee na kuacha kujaribu kuirekebisha Dunia, ... japo kwa kuchangia JF!Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!
Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.
Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
😀😀Pole sanandio nimejua watu hawana upendo zamani ulikuwa unatumia hata shemeji yako akusaidie kazi za hapa na pale.
yani nahisi naanza kubadilika rangi nakuwa mweusi😀
ndo maana sitaki kabisa kuoa wala kua na mtoto. Najua drama zake.... ila labda nikikua nitabadilika 😂ndio nimejua watu hawana upendo zamani ulikuwa unatumia hata shemeji yako akusaidie kazi za hapa na pale.
yani nahisi naanza kubadilika rangi nakuwa mweusi😀
Kuwa na watoto raha sana mdogo wangu hujui usemalo. Natamani niwe nao hata 100 sema tu maisha hayaruhusu😀ndo maana sitaki kabisa kuoa wala kua na mtoto. Najua drama zake.... ila labda nikikua nitabadilika 😂
we lea nina mdogo wangu atakuja kujipatia mke mweupeeee 😂Kuwa na watoto raha sana mdogo wangu hujui usemalo. Natamani niwe nao hata 100 sema tu maisha hayaruhusu😀
Kweli kabisa kuwa na watoto Raha sana mm pia natamni sana aisee Ila suala la mia halipo huko Lebanon ni roho mkononi😀Kuwa na watoto raha sana mdogo wangu hujui usemalo. Natamani niwe nao hata 100 sema tu maisha hayaruhusu😀
unatafuta matatizo we dogo 😀 kuna baba wakwe wengine sio wa kutaka kuoa kwao utajutia sanawe lea nina mdogo wangu atakuja kujipatia mke mweupeeee 😂
raha yake nini kwa mfano....Kweli kabisa kuwa na watoto Raha sana mm pia natamni sana aisee Ila suala la mia halipo huko Lebanon ni roho mkononi😀