Mi nmetaja nnachohitaji maana sijala Toka juzi...bora kuomba hiyo buku ukaiona ndogo, ukinipa ningenunua Viazi nikachemsha nkala leo Na kesho kuliko kukuomba buku Tano ya Kula mwezi ukaiona kubwa ukaishia mtini.huwa simpi mtu buku naanzia buku tano....hata boda boda akiniambia nimpe elfu moja naona kama ndogo namuongezea hata elfu mbili
Duuuh mkuu umekosea kuquote mi ni mchangiaji tu sio mleta thread.Kwahiyo wewe ni msukule wa huyo ndugu yako? Kama una vipaji vingine kwanini usiondoke hapo kwake ili upate muda mwingi wa kufanya shughuli zako?
Formula imewekwa...Kazi yako Ni kupachika data tuWajinga mnatambaa na chaki mapema sana
Siishi kwake nimepanga najitegemea na hua Sina mazoea yakwenda kwake naweza maliza ata mwezi ata 10 Bila kufika kwake labda atakapo niagiza yeye Ni brother Ni first born wetu .. kwaiyo kuacha kazi kwake naona atasumbuka Sana kwaiyo namuonea huruma .. nimefanya kazi nae akiwa Hana ata msingi ila adi Sasa amesha Jenga nyumba nzuri tu . Nafurai kuona maendeleo yake .Kwahiyo wewe ni msukule wa huyo ndugu yako? Kama una vipaji vingine kwanini usiondoke hapo kwake ili upate muda mwingi wa kufanya shughuli zako?
makosa nimeyaona bt wewe tu ndo hukuelewa nilichomaanishaKama unampa A basi ni kwasababu na wewe ndio wale wale au hujasoma ukaona makosa yake.
mashabiki wa aseno bwanaNikopeshe alfu themanini.
Kwa maelezo ya huyu mkuu inaonayesha ni Introvert lakini kawa Psychopath naona kuna vipengele tunafanana. Ila chamsingi ajitahidi kujamiiana na wanajamii he's not alone in this world akutane na watu itamsaidiaDa'Vinci I need your views here my friend
Sasa ndio nimekupata boss. 😂😂😂makosa nimeyaona bt wewe tu ndo hukuelewa nilichomaanisha
Pole boss.Duuuh mkuu umekosea kuquote mi ni mchangiaji tu sio mleta thread.
Kuomba mkopo na kua Arsenal hakuna uhusiano.mashabiki wa aseno bwana
🤣🤣🤣 loh!niliandika vile kupunguza ukali wa manenn bt ile ni 'A' ya mwandiko mbovu.
Ukipata unirushie bukuNikopeshe alfu themanini.
sawa mkuu.Me siyo muandishi mzuri kivile [emoji3]
Mkuu naomba maana halisi ya neno 'kujamiiana' kama hutojali .. naona kama halijatumika ipasavyo hapa ..Kwa maelezo ya huyu mkuu inaonayesha ni Introvert lakini kawa Psychopath naona kuna vipengele tunafanana. Ila chamsingi ajitahidi kujamiiana na wanajamii he's not alone in this world akutane na watu itamsaidia
Wakati naliandik hap nilifikiria hili pia. Kujmiiana mimi nadhani ni tafsiri halisi ya neno "socializing" kwenye kamusi wanasema socializing kiswahili chake ni Kushirikiana. Lakini mwenyewe kama ulisoma mnambulisho wa maneno utaona kabisa tafsiri sahihi ya socializing ni kujamiiana.Mkuu naomba maana halisi ya neno 'kujamiiana' kama hutojali .. naona kama halijatumika ipasavyo hapa ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hapo nimekupata mkuu, shukrani [emoji120] ..Wakati naliandik hap nilifikiria hili pia. Kujmiiana mimi nadhani ni tafsiri halisi ya neno "socializing" kwenye kamusi wanasema socializing kiswahili chake ni Kushirikiana. Lakini mwenyewe kama ulisoma mnambulisho wa maneno utaona kabisa tafsiri sahihi ya socializing ni kujamiiana.
Nionavyo!
Walilitumia hili neno kujamiiana kama tafsiri ya neno sexing ili kupinguza ukali wa maneno. Ila Naamini maana halisi ya socializing sio kushirikiana (Cooperating) bali ni kujamiiana.
Nakubali kukosolewa