Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

Poa kabisa.
 
6. Ninafanya kazi kwa ndugu for over 10 years now anilipi chochote nakila nikitaka
Kwa maelezo yako umesema una 24yrs. Sasa ina maana umekuwa ukifanyakazi kwa huyo ndugu yako tangu ukiwa na miaka 12 au 13???

Hii haiingii akilini, but, anyways let me go to the point.
Wewe ni introvert person ambaye anakosa kitu inaitwa self-esteem. Aibu na kutokujiamini ndiyo tatizo lako kubwa.

Kitu kingine huna boundaries na ndiyo maana ukiombwa kitu huwezi kusema "hapana" hata kama hutaki kutoa hicho kitu.

Bwana mdogo una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia na unahitaji msaada. You need counseling, hivyo nakushauri tafuta a professional psychiatrist akufanyie intensive counseling sababu yote uliyoyaeleza yanaviashiria vya mental illness, lakini tatizo lako linatibika.
 
Sasaa utaendelea kujitolea mpk lini!?
Maisha yako ndio unatak yaishie hivyo!?
Thats the most uzwazwa akutumikishe 10yrs for free tu amka hangaika upate chako
 
Kwa maelezo ya huyu mkuu inaonayesha ni Introvert lakini kawa Psychopath naona kuna vipengele tunafanana. Ila chamsingi ajitahidi kujamiiana na wanajamii he's not alone in this world akutane na watu itamsaidia
Nitakuchek inbox mzee
 
Mzee hujala toka juzi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe jamaa ni exotic species. Kwanza ni muongo muongo. Inawezekana vipi unafanya kazi kwa miaka 10 bila kulipwa? Je hizo hela unazoombwa na hao ndugu unatoa wapi? Au unaiba?

Acha uongo wako.
Hata mimi nimeshindwa kuelewa inakuwaje mtu unafanya kazi kwa miaka 10 bila kulipwa?
 
Mkuu,unazijua dalili za COVID 19 wimbi la nne? Huenda umeorodhesha bila kuzijua
 
Mkuu,unazijua dalili za COVID 19 wimbi la nne? Huenda umeorodhesha bila kuzijua
 
Hata mimi nimeshindwa kuelewa inakuwaje mtu unafanya kazi kwa miaka 10 bila kulipwa?
Uliza watu wanaofanya kazi kwa ndugu .. watakwambia .. ulishawai kufanya kazi kwa mjomba ,Shangazi ,bamdogo , Kaka mkubwa ? Tena Mimi nilianza kufanya kazi nikiwa na miaka 13 nilishindwa kuendelea na form 2 .. kwakuw Bibi alikosa ada niliamua kujiunga na maktaba ya mkoa kwaiyo nilisoma Sana vitabu kila nilipokuw free kwaiyo issue yakuwa kweny vijiwe nilikuw Sina kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…