Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

H
Hapo mnatakiwa mhamishwe wote au mmoja atafute kazi nyingine.

Pia kama ni bosi wako mwanzo hukutakiwa kuwa unakutana kwenye bar moja naye hasa ukiwa na marafiki zako alafu yeye yupo pekee yako. Never outshine your Master.

Zaidi ya hapo kaeni chini mzungumze mfanye resolution. Kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa zaidi kwako.
 
Tatizo la wabongo tumezoea kufanya kazi kama punda na kupeana pressure kibao siziso na ulazima eti ndo tunaonekana wachapa kazi.

Huo ni ulimbukeni mwamba. Kuna maisha baada ya kazi kikubwa utimiza majukumu yako ya kazi ipasavyo(iheshimu kazi), then furahia maisha.
 
Bosi mwingine mwenye nongwa.

Kiufupi ni mko wengi sana
 
Naamini mwishooo utaongea ukweli hayamambooo ya kutaka kushare na boss mizigooo haijawahi kukaa salama mkuu

Niliwahi kuwa kampun moja ya airline nkanza kushare mzigo na boss bila.kujijua bahati mbaya same boss nakunywa nae pale kinondon those days gagla ikaanzishwa karatasi ya performance mkisafiri nakurudi anandika vgud a.a gud ama poor loh mkuu kama umezamia huko toka hakuna rangi niliacha kuona...ofisin

Mpaka nkaomba likizo nirudi nikiwa sawa kipindj cha likizo nkimwona naomba radhi mkuu chochote kibaya tu.mefanyjana nisamehee m mdogo sana bado nahitaji maisha ....
Itaendelea
Boss agusiki
 
Mkuu umenena vzr. Mimi nafanyakazi mpaka nahitaji kazi nyingne...officially za kibongo ndio utaona nyanza kulala na bosi....no nikimaliza kazi zangu kwa nn unibanebane
 
Nilikuwa natembea na Co worker..bos akamshusha cheo....eti kwa sabab ananitaka..wanaume nyie mafisi....suku moja nilimtamkia..nikikuvuliq nguo ya ndani labda sio mimi..labda iwe ndoto. Bosi mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…