Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Wazungu wanajua uislamu ni dini ya ugaidi (Shetani) ndiyo maana hawatumii nguvu bali akili kiduchu sana.Labda ni mwehu tu asiyeelewa sababu na kwanini USA iliongoza majeshi ya NATO kumuondoa Libya kwa visingizio vya maagizo ya Umoja wa Mataifa. Jisomee wanavyofichua "siri wazi" zao wenyewe:
![]()
The Big Lie About the Libyan War
The Obama administration said it was just trying to protect civilians. Its actions reveal it was looking for regime change.foreignpolicy.com
NATO waliwatumia waislamu kuuana wenyewe kwa wenyewe maana ni dini ya maovu. Maana wakifa wataenda kupewa mabikira 72 akhera.
Sudani pale wanachinjana ovyo ovyo halafu kuna misikiti kama yote. Sijui wanahubiri amani au vita?
Marekani, bunduki zinazuzwa kama pipi na ukifikisha miaka 18 unaenda kununua bunduki ila huwezi kusikia kuna kikundi cha kigaidi au wanapigana wenyewe kugombea madaraka