Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Aahaa inawezekana Mkuu Ila usiache kujipambania
 
Familia ya mzee wangu imebarikiwa Sana Mkuu
 
kuna mambo huwezi wasemea wenzako kama uzinifu

tuishie kusema wamesoma na wana mafanikio

ila uzinzi n suala lingine kabisa, mimi hakaa mbali na nyumbani na wazazi wana amini sina tabia ya uzinzi ila mm najijua
 
Hii kiboko!
 
Factors kubwa ni elimu na umasiki tu. Ukiweza kuwapa wanao elimu ya kujitambua na kutokomeza umasikini kwenye familia mambo mengine yatakaa kwenye mstari tu automatically
 
Kufanikiwa ni jambo tofauti kwa watu tofauti.

Wewe unaweza kuona mtu kuishia form six ni kufanikiwa.

Lakini kuna utani unaokaribia na kweli kuwa kuna familia huko Kagera wanamsema mtoto mmoja mwenye Masters degree kwamba ameiaibisha familia kwa kuwa wote wana PhD yeye hajafanikiwa kwenye usomi.
 
Ahaaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ umetisha Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ