Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Mafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
Aahaa inawezekana Mkuu Ila usiache kujipambania
 
Unavosema hakuna mzinzi una uhakika?
Au wanafanyiaga vibarazani?

Anyway ni malezi yaliyo katika misingi imara ya kimaafili huchangia.
Elimu ukiikazania Tena Ile iliyo Bora italeta sense Fulani za kujitambua.
But bila pesa ni ngumu kuifanikisha mengi tu.
Familia ya mzee wangu imebarikiwa Sana Mkuu
 
kuna mambo huwezi wasemea wenzako kama uzinifu

tuishie kusema wamesoma na wana mafanikio

ila uzinzi n suala lingine kabisa, mimi hakaa mbali na nyumbani na wazazi wana amini sina tabia ya uzinzi ila mm najijua
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Hii kiboko!
 
Factors kubwa ni elimu na umasiki tu. Ukiweza kuwapa wanao elimu ya kujitambua na kutokomeza umasikini kwenye familia mambo mengine yatakaa kwenye mstari tu automatically
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Kufanikiwa ni jambo tofauti kwa watu tofauti.

Wewe unaweza kuona mtu kuishia form six ni kufanikiwa.

Lakini kuna utani unaokaribia na kweli kuwa kuna familia huko Kagera wanamsema mtoto mmoja mwenye Masters degree kwamba ameiaibisha familia kwa kuwa wote wana PhD yeye hajafanikiwa kwenye usomi.
 
Kufanikiwa ni jambo tofauti kwa watu tofauti.

Wewe unaweza kuona mtu kuishia form six ni kufanikiwa.

Lalini kuna utani unaokaribia na kweli kuwa kuna famikia huko Kagera wanamsema mtoto mmoja mwenye Mastwrs degree kwamba ameiaibisha famikia kwa kuwa wote wana PhD yeye hajafanikiwa kwenye usomi.
Ahaaa 😁😁😁 umetisha Sana mkuu
 
Back
Top Bottom