Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
mwambie sasa mzeeShangazi .com👆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie sasa mzeeShangazi .com👆
Aahaa inawezekana Mkuu Ila usiache kujipambaniaMafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
Familia ya mzee wangu imebarikiwa Sana MkuuUnavosema hakuna mzinzi una uhakika?
Au wanafanyiaga vibarazani?
Anyway ni malezi yaliyo katika misingi imara ya kimaafili huchangia.
Elimu ukiikazania Tena Ile iliyo Bora italeta sense Fulani za kujitambua.
But bila pesa ni ngumu kuifanikisha mengi tu.
Hela hazijaiMafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
Hongera sana..Familia ya mzee wangu imebarikiwa Sana Mkuu
Hii kiboko!Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Hongera sana..
Nawe hakikisha yako inakuwa kama yao..namaanisha watoto wako
Factors kubwa ni elimu na umasiki tu. Ukiweza kuwapa wanao elimu ya kujitambua na kutokomeza umasikini kwenye familia mambo mengine yatakaa kwenye mstari tu automaticallyKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Kufanikiwa ni jambo tofauti kwa watu tofauti.Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Kwenye uzinzi nakukatalia
Kwenye uzinzi nakukatalia
Ahaaa 😁😁😁 umetisha Sana mkuuKufanikiwa ni jambo tofauti kwa watu tofauti.
Wewe unaweza kuona mtu kuishia form six ni kufanikiwa.
Lalini kuna utani unaokaribia na kweli kuwa kuna famikia huko Kagera wanamsema mtoto mmoja mwenye Mastwrs degree kwamba ameiaibisha famikia kwa kuwa wote wana PhD yeye hajafanikiwa kwenye usomi.
HakikaNi Mungu tu katubarki hvyohvyo
Ingekuwa kweli usingekuwa unashinda mitandaoni kuzungumzia. Ngono masaa 24
Anapiga dribbleKwani kasema ni mmoja wa watoto?