Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Watoto
1 . Mtaalamu wa mambo ya Ndege Kafanya Kazi Saudi Arabia
2. Manager Kafanya Kazi na wafaransa Kama manager wa mafuta.
3. Muhasibu alikuwa Bandar in
4. Bwana Shamba
5. Afisa wa jeshi na baadae mmiliki wa kampuni kubwa Kenya
6. Rubani na sasa yupo UN
7. mmiliki wa hotel five Star (RIP)
8 . huyu alifariki baada tu ya kumaliza form six (RIP)