Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.

Watoto

1 . Mtaalamu wa mambo ya Ndege Kafanya Kazi Saudi Arabia

2. Manager Kafanya Kazi na wafaransa Kama manager wa mafuta.

3. Muhasibu alikuwa Bandar in

4. Bwana Shamba

5. Afisa wa jeshi na baadae mmiliki wa kampuni kubwa Kenya

6. Rubani na sasa yupo UN

7. mmiliki wa hotel five Star (RIP)

8 . huyu alifariki baada tu ya kumaliza form six (RIP)
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Kila mtu hapo ana kitu kinachomliza licha ya hayo mafanikio ya Nje.

Kizuri hakikosi kasoro,sio Kila king'aacho ni Dhahabu.
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Nimetoka familia kama hiyo, ni malezi, wazazi kuonyesha mfano bora (watoto wanakua kwa kuangalia mifano hai inayowazunguka kuliko maneno) na cha mwisho ni walezi kujitoa kujenga future nzuri ya watoto wao hasa kwenye elimu.
 
Unavosema hakuna mzinzi una uhakika?
Au wanafanyiaga vibarazani?

Anyway ni malezi yaliyo katika misingi imara ya kimaafili huchangia.
Elimu ukiikazania Tena Ile iliyo Bora italeta sense Fulani za kujitambua.
But bila pesa ni ngumu kuifanikisha mengi tu.
 
Hapo ndo ujue aina hiyo ya watoto inatoka katika familia iliyo bora kuanzia malezi, maadili bora ya dini, elimu ya shule, elimu ya mtaa... Wazazi hao wameacha ubinafsi na kupandikiza mbegu bora iltakayozaa matunda bora katika kizazi Chao.
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Mafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato, kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
 
Back
Top Bottom