Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Ahaa sawa
 
Mm nimezungumzia kwa niyaonayo katika jamii na watu walionizunguka , haimaanishi inanilenga Mimi Moja kwa moja
 
Shida kubwa
kwa wanawake ndio iko hapa, shukuru hata umepewa hiyo, wanawake wengi mmewageuza wanaume kama chuma ulete, kwani ni lazima mpewe hela. Starehe ya wte why u demand fedha? Tena kwa malalamiko as if ni wajibu wa boy kukupatia, kwahiyo mapenzi mmegeuza biashara, ukiambiwa i love u, unataka ugharamikiwe kila kitu, why, si ujitegemee mwenyewe. Nikikuoa hapo sawa maana nimeyakubali majukumu, wanaume shtukeni acheni kujitia majukum ya kijinga, msiwape hela , maana hata mkiwapa wanalalamika kwann tumewapa stend, KATAA KUWAPA WANAWAKE HELA,
 
Pole kwanza tatizo lako kubwa una expectation kubwa mno, mawili humpend au hakupendi bado mnasomana
Pili kama ni mara yake ya kwanza kausha, else utaonekana materialistic sana

Or umekutana na mvulana
 
Nyie ndo wale mnaochagua wanaume mwanaume anayejitoa Kwa lolote lile sidhan kama ni aibu Bali ni kujal Sasa wewe ulitaka akupe hela ya nauli wap au sh ngap au Kwa sababu ni elf 5? Mtu akubebe matunda Toka huko alikotoka Kwa ajil yako halaf ww ndo uone aibu khaaaa unajiweka kwenye uclassic gan dada
 
Kwani akiyaweka hayo matunda kwenye mfuko anapungukiwa nini!?. Kwahy Kila akipita Kila mtu eehee, Leo ameleta ndizi, enhee yule dada kapewa kiasi flani , kama sio kunangana ni nini!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…