Ahhhh kumbe zina levels, Mimi huwa najua tu kuna makwasukwasu yanayolimwa karibu na mijini, wenyewe wanasema haina stimu kama zile zinazozalishwa poriHiyo wanayovuta wahuni sio bhange ni makushabu mkuu😁😁😁
Ngoja nkufate Dm🚏Hapa kujibu itakua ngumu
Mkuu hiyo mambo zipo za aina nyingi na kwa matumizi tofauti , mfano kuna cannabis caviar, kg 1 inafika mpaka dollars 1700Ahhhh kumbe zina levels, Mimi huwa najua tu kuna makwasukwasu yanayolimwa karibu na mijini, wenyewe wanasema haina stimu kama zile zinazozalishwa pori
Ila bro, ukigumia sehemu watu wanasokota na kupanga kete. Inahitaji uelewa mkubwa kutoona bhangi inawaharibu 😁😁😁
KilazaHabari!
Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.
Nitawashukuru sana.
ChaiKufaulu ni bahati!
Olevel nilikua sisomi na nilikua napasua vibaya mno
Advance nilikua nasoma tembo ila matokeo Sisimizi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ili ufaulu acha kuwaza mipombe, michepuko, mibangi, vikoba
na kubeti
huyu supp inamuitaWhile you're in mitandaonis and you want success ? Wacha wewe.
Soma, huku tuachie wastaafu na watumishi wa huko kwa Mheshimiwa.
Ushauri wangu unaanzia hapa Fanya tathmini ya kuwa vitu ganii vinakukwamisha au kukupotezea Muda mfano TV,marafiki wambeya n.k mara moja unawakacha,Pia jitathimini ww ni Mtu ambae unasomaje utaelewa Sana ...Na mwisho utachaguwa mbinu pendwa za Kati ya hiziChuo kikuu
While you're in mitandaonis and you want success ? Wacha wewe.
Soma, huku tuachie wastaafu na watumishi wa huko kwa Mheshimiwa.
Shukrani sana Mundele umenipa ushauri mzuri sana nitauzingatia na kuleta mrejesho hapaUshauri wangu unaanzia hapa Fanya tathmini ya kuwa vitu ganii vinakukwamisha au kukupotezea Muda mfano TV,marafiki wambeya n.k mara moja unawakacha,Pia jitathimini ww ni Mtu ambae unasomaje utaelewa Sana ...Na mwisho utachaguwa mbinu pendwa za Kati ya hizi
•√Kuwa na discussion groups katika usomaji wako,
•Kuzingatia Yale mwalimu anayofundisha hata kama ukiwa off class au off mood,tenga Muda kwa siku WA private study labdah masaa mawili/ moja na nusu n.k kulingana na pumzi yako,
•Kuwa na utaratibu WA kufanya mazoezi (Pitia mapast papers,maswali mtandaoni n.k),
•Usipoelewa kitu tafuta WA kukueleza awe mtu /tutorial you tube ,Watu waliokuzidi level
•Kuwa na target za MDA mrefu ,MDA WA Kati na MDA mfupi hizo zinakuwa kama kipimo chako katika kusema mfano MDA mrefu sitaki C ,MDA WA Kati niwe nimemaliza topic kadhaa kwa kipindi fulani
•Shirikiana na Watu pia,by having strong circle ya study hawa watakuhamasisha Tu usome
Mwisho na la Kuzingatia ni Anza na maliza yote na Mungu ,unaweza kuwa unaona Giza ila mwombe Mungu afungue njia utatoboa
😂gombea nitakupa kura yanguLevel ya chuo kikuu ndio rahisi kuliko Ordinary Level na A-Level. Sikuwa mzuri wa kukariri hivyo ile style ya kusoma miaka minne halafu ukumbuke mambo yote kwa siku moja ilikuwa ngumu kwangu🤣! NECTA waliofaulu ni wale wenye cramming capacity ya hali ya juu. The most gifted.
I would consider chuo kikuu as the best level in academics. Kimsingi ni mahali ambapo shule ilikuwa nyepesi sana. Imagine vitu mnasoma vya miezi minne tu kisha mnaachana navyo. Haukuti mwaka wa tatu kuulizwa mambo ya mwaka wa kwanza.
Ningekuwa raisi ningeweka mtaala toka primary watu wasome kila darasa kivyake. Yani ukimaliza ya form one unaachana nayo for good.
You're welcomeShukrani sana Mundele umenipa ushauri mzuri sana nitauzingatia na kuleta mrejesho hapa
Hahahahah ngoja nipeleke form CCM😂gombea nitakupa kura yangu
Ni stimu tu unalipia 😁Mkuu hiyo mambo zipo za aina nyingi na kwa matumizi tofauti , mfano kuna cannabis caviar, kg 1 inafika mpaka dollars 1700
Kuna watu wanazo pesa za mchezo mkuu😄😄Ni stimu tu unalipia 😁