Ila kwanini kusiwe na uhuru wa kimaongezi? Inamaana hao wazazi hawajui kwamba kuna stage inafika na unatakiwa uwe na mpenzi?Kama nimeoa namjbu i love you too.. Ila kama mpenzi tu, namwambia asante, kama mpenz wako mnaaminiana na kuelewana atajiongeza tu upo sehemu mbaya..
NB: Inashauriwa unapoongea mazungumzo binafsi hasa ya mapenzi usiongee mbele za watu, unaweza kutoka hapo kwenda kuongea sehemu nyngne kwa uhuru, kama upo sebuleni na kuna watu wengne, unatoka unaenda hata room
Dah baada ya kukata simu sijui mtaendelea na maongezi gani na hao wazazi manake lazima kipite kimya cha sekunde kadhaaUzuri ni kuwa huyo mtu atakayeniambia hivyo atakuwa anajulikana na wazazi wangu so nitamjibu i love u too pumpkin
My mum😉Wakati huo umeketi pembeni ya nani?
Yaani namjibu Te Amo too najua hawatanielewa hahahaOhoo
Ila huenda asingetumia udikteta usingefika hapo ulipo
Thanks Love, Love U My Sweetheart.Oh sweet love u more mwaaa
Oooh mwaaThanks Love, Love U My Sweetheart.