na kweli kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamuNakuapia Kwa jina lake yeye ni ukweli kabisa,
Halafu mama yangu kanishinda miaka 16 Tu
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Nadhani umesema kusema Ilove mbele ya mzee au sijakuelewa vizuri? hapo hakuna jambo la privacy sijui kwa wengine lakini kumwambia mumewangu i love u Habibi sio tatizo ungesema labda nime fanya kitu cha ajabu lakini kusema ilove u sio neno..Kwahiyo suala la privacy halipo kati yenu?
Au ni sahihi watu wengine kusikia maongezi yenu binafsi yahusuyo mapenzi yenu?
YahGood good... Wazazi muda mwingine wanatakiwa wawe ni marafiki zetu, sio maadau muda wote
Umekaprnda Ka signature kanguuna kweli kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu
sana kwani kana kaukweli ndani yakeUmekaprnda Ka signature kanguu
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
True ninja hapo wasingenielewaTeamo Amore... Hahah
Wengine wanajua ni uhuni tusana kwani kana kaukweli ndani yake
hakuna aisee ni ukweli kabisa. lol hamu hamu ni kitu ingine bhana, halafu iwe imechokozwaWengine wanajua ni uhuni tu
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Mhuuu inachokozwaje hiyo bibiehakuna aisee ni ukweli kabisa. lol hamu hamu ni kitu ingine bhana, halafu iwe imechokozwa
teh teh
ChumbaniKwahiyo kumbe wewe ndo wale wanaokimbilia chooni kuongea na simu?
kwa kutoimaliza, hatari ulosema ya mpenzi kuachwa na hamu anaachwaje? usinichokoze ujueeeeeMhuuu inachokozwaje hiyo bibie
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Akuu kwann nikuchokoze, mm nawakumbusha hawa vijana wa humu wanaopiga mechi za mchangani!.kwa kutoimaliza, hatari ulosema ya mpenzi kuachwa na hamu anaachwaje? usinichokoze ujueeeee
Yapo maneno ya chumbani kuongea na mpenzi wako, sasa kwenye kadamnasi ya watu unataka kuwahubiria ili wajue kwamba unampenda? What for?Nadhani umesema kusema Ilove mbele ya mzee au sijakuelewa vizuri? hapo hakuna jambo la privacy sijui kwa wengine lakini kumwambia mumewangu i love u Habibi sio tatizo ungesema labda nime fanya kitu cha ajabu lakini kusema ilove u sio neno..
mimi naachwaje na hamu sasa? lol ninae mtaalamu bhana usinichokoze nimesema lolAkuu kwann nikuchokoze, mm nawakumbusha hawa vijana wa humu wanaopiga mechi za mchangani!.
Ushawahi kuachwa na hamu na ulichukua hatua gani?
mimi naachwaje na hamu sasa? lol ninae mtaalamu bhana usinichokoze nimesema lol
muulize kama unataka kujua. Wanaume mtaelezana siri nahisi, yeye mwenyewe anajua so siwezi elezea hapa. huwezi vumbua chimbo la dhahabu halafu uje ulianike hadharan.Njoo unihadithie piem kama waogopa hapa, Anafanyaje ili asikuache na hamu?
Aisee kuna manzi balaa kuna manzi angu alinipigia simu nipo, kwa watu nikawa najikanyaga kujibu, manzi akafura balaa huku akiuliza yeye ni nani kwangu.Hahahah mzee uliuepuka vp huo msala? Au ulikata simu