Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]duh!mpk huko mamtoni wamooo!!!aseehhh!!hii Kali kuliko zote bwanaa
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
Haaahahaa humuui chura kwa kumtupa ndani ya maji
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
Haaahahaa humuui chura kwa kumtupa ndani ya maji
 
No yule alikuwa mchafu nywele ndefu kuoga mtihani alikuwa anatoka nao kwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa ajili ya uchafu basi chawa hawakumuacha kama mtu anatembea na kunguni si wa mchezo kama utitiri [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa ajili ya uchafu basi chawa hawakumuacha kama mtu anatembea na kunguni si wa mchezo kama utitiri [emoji23] [emoji23]
Chawa tena usipime yaani kuna siku nilichukia usiku tulipigana mbaya nimestuka usingizini nakuta kanifunika nywele zake kwenye uso wangu uso wote kuna vidudu vinatambaa nilipiga ngumi tatu za haraka mwilini mwake 😀😀😀😀
 
Chawa tena usipime yaani kuna siku nilichukia usiku tulipigana mbaya nimestuka usingizini nakuta kanifunika nywele zake kwenye uso wangu uso wote kuna vidudu vinatambaa nilipiga ngumi tatu za haraka mwilini mwake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu wale minywele yao ile sijui hawaioshi vizuri, ngumi zikawaka usiku umenichekesha kweli
 
Kuna UZi flan humu JF mwaka jana niliusoma ulisaidia sana kuwaangamiza vikosi vya kunguni ... Nikiisakaniyo dawabpale kkoo nikaipata nikachukua vichupa vi2 na kingine ki1muuzaj aliniambia pia ni nzuri (majinanya izondawa yamenitoka)bac nikapuliza kila kona ya godoro kitanda nikadekia pia sakafuni kisha nikamwaga majinya moto yaan ndani ya siku 4 tu nikarejea room .....hao wadudu sio POA kbs
 
Haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu wale minywele yao ile sijui hawaioshi vizuri, ngumi zikawaka usiku umenichekesha kweli
😀😀😀😀Enzi zangu age ya 16 kuludi nyuma yaani nikichukia kupigana ni lazima haijalishi ni mda gani na wapi naliamsha tu.
 
Matema Beach High School

Nilikua mvivu sana lakini hawa jamaa walinifanya nikeshe prepo, au niseme tuu walinifanya niwe nalala darasani wakat wengine wanapiga msuli!

Tulipuliza sana dawa lakini ndo kwanza wakawa wanaongezeka, tukawa na program kila jmos tunatoa magodoro nje kuyaanika juani halafu kila bweni madom leader wanasimamia kuhakikisha kila mtu anamwagia maji ya moto ya kutosha kwene vitanda na chaga, kiukwl ukimwagia maji baadhi walikua wanakufa..lakin mziki wake baadae utafikiri yale maji ndo yametotolesha mayai yao mana usiku hamlali tenaa

Halafu upuuzi wa hawa wadudu wakikukaa mwilin hawapendi utulie, ukitulia tuu nao wanaanza purukushani, A level tulikua Boys na ndo tulokua tunakaa bwenin ila O level walikua mchanganyiko kwahyo videm vyetu vilikua olevel huko..jioni navyo vinakuja kusoma prep so unaeza kuta umekaa na manzi wako wadudu wanaanza kukushughulikia, dem anashangaa tu mbona mwamba hatulii daah yale maisha konyo sana
 
Hawa wadudu nyumbani tulipangisha mtu alikuja na mbegu daah!sisahau aseehh!!tukawa jina na alshababi!!nilikua navimba mwili mzimaa...!!!
[emoji22][emoji22][emoji22]pole!
 
Hahaaa.....hatari na nusuu!!!hawa wadudu sina hamu nao Jana nimeenda kunnua dawa ya mbu ananiulizia ya kunguni na mbaya huchukui nkamuambia nyumba yangu haina hizo mambo alishangaaa...sanaa[emoji3][emoji3][emoji16]nkamuambia kweli tena,hajaamini
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…