Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Hongera mkuru...
 
aiseee[emoji3][emoji3][emoji3] kunguni kiboko ya mabishoooo!!
 
Mwie mwenyewe ilikuwa msibani jamani acha nilikuwa na makovu mwilini
utazani kambale aliyepitishwa motoni wiki 2 tu sina hamu
[emoji22][emoji22][emoji22]pole sana...
 
Kama umelala kitandani ukishuka chini na wao wanashuka kukufuata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana mda wa kupoteza...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe na wadhungu wanaliwa, afadhari aiseee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Damu yako hiyo eeeeh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]unakuwa unajikunja kunja kama mwendo wa nyoka!
 
KTC kwa mwiga hatare m nliwajulia chuo bhn tulikua tunalala nje aiseee ila baada ya hapo ckuwah kuwaona tena mpk nmewaona leo hapa jf mmenikumbusha mbal xana ila ilifika kipind yan unawazoea tu unalala nao mpk axubuh ila kabla yabkuingia class unahakikisha umepiga pas kila utakachokivaa yan had beg maana wanajua kujificha hao unaeza fungua daftr clas af unakukutana na huyo mkataumeme yan hatar tupu
 
Nakumbuka wakati nipo secondary bwenini kwa wavulana kulikuwa na balaa la chawa huku wasichana ni kunguni....sijawah ku experience hawa viumbe wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sekeseke la chawa nalijua vilivyo...hebu waliokumbwa na adhma zote mbili watupe uzoefu...Maana chawa yuko na wewe 24/7 asubiri ulale yeye anagawa dozi muda wote...kauli mbiu yake ni Kama ya #Chadema "ULIPO TUPO"...KUNGUNI VS CHAWA...Nani zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe wapo mpaka town Kabisa katikati ya jiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…