Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂daaahUkitaka kuwapata panda Gari linaitwa SIMIYU EXPRESS linaenda mkoa wa SIMIYU utakoma nao hao vampire
harufu kama yakoDuu ck moja nikaenda na demu ka gesti ka bei rahisi wakawa wananigonga hata ckuwasikia walikua wakidunga nami na mi gonga. Ila kunguni wana harufu fln hivi.
Unaitumia namna gani hiyo sabuni ya unga?Sabuni za unga zinawamaliza sana
huwa najisikia mujarabu kabisa...ila wapumbavu sana wale nilihama na kuiacha kodi ya mwaka mzm kisa kunguni aiseeemwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!View attachment 1085093View attachment 1085094View attachment 1085095
Yani ulifanya kosa kubwa sana...mkuu wakishikwa hasira hao...utajuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
Ni dawa gani hyo kk nijuzehahahaha mkuu nilikuwa siwajui hawa wadudu zaidi ya kuwasikia tu ila mwaka 2011 ndo niliwafahamu moja ya viumbe wenye roho ngumu hawa nao wapo.
walinichezesha kwata kwa miaka 3 mpaka nilipopata dawa ya uhakika
Inaitwajekuna dawa nilinunua Tsh 5k sikuamin kama kweli waliisha ila nashukuru mungu hadi hivi leo ni raha msarehe!
Mkuu hawa wajumbe ni shida.ukimlalia bahati mbaya anajitapisha damu yote aliyokukamua ukimwachia anaanza show upyamwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!View attachment 1085093View attachment 1085094View attachment 1085095