Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Mwanzo walikuwa wananisumbua sana nakosa hadi usingizi nikagundua Dawa yao kabla ya, kulala navuta misokoto usingiz unanichukua ghafla
 
Mwanzo walikuwa wananisumbua sana nakosa hadi usingizi nikagundua Dawa yao kabla ya, kulala navuta misokoto usingiz unanichukua ghafla
Unaonekana BHANGE huwezi isema vbaya mkuru[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duu ck moja nikaenda na demu ka gesti ka bei rahisi wakawa wananigonga hata ckuwasikia walikua wakidunga nami na mi gonga. Ila kunguni wana harufu fln hivi.
 
Kunguni wanapenda kukaa kwenye sehem chafu hakikisha ndani Kwako ni ku safi
 
Niliwahi kesha maana mbu na hao jamaa walinikomoa
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
Yani ulifanya kosa kubwa sana...mkuu wakishikwa hasira hao...utajuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hahahaha mkuu nilikuwa siwajui hawa wadudu zaidi ya kuwasikia tu ila mwaka 2011 ndo niliwafahamu moja ya viumbe wenye roho ngumu hawa nao wapo.

walinichezesha kwata kwa miaka 3 mpaka nilipopata dawa ya uhakika
Ni dawa gani hyo kk nijuze
 
Back
Top Bottom