Hahah kwamba sio akili zake Babu?Uko beer ya ngapi Mjukuu 😅
Mwambie waiter nyingine utamalizia kunywa kesho, leo imetosha
Lkn anasema ana kipochi manyoya, siunaona hapo?Ndio mkuu ni bro huyo
Alikudanganya ni mumama?
Nahisi ameandika akiwa high 😅Hahah kwamba sio akili zake Babu?
😂😂 DahHayo ni nguo Asilia Binadamu Tuliumbwa tukae uchi😃😃😃
Naomba uje pm, nitakuwa nakuja eneo lako kukunyoaKatika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Mtoa mada alitunyima kapichaAseee😃
Mkuu!!Kitufe cha kucheka mbona hakuna?
😃😃😃Uwakika uzi bila picha ni uzushiMtoa mada alitunyima kapicha
😄😄😄😃😃😃Uwakika uzi bila picha ni uzushi
Wanavyosemaga kuna painless uwa ni waongo?Waxing ya huko na kwapa inauma balaa ila ukimaliza utakaa muda mrefu sana bila kuziona. Na zikija kuota zinaota laini nzuriii
😹😹😹 Atasaa AtasaaaBustani hiyo, mi siyapendi zaidi ya kwapani.
Unayanyoa ya nini?? Unajiandaa na game??
Yaache yachanue, hayo ndo yanarutubisha kipochi manyoya.
Kitaalamu lile jashojasho likiingia kwa ndani huko ndo linaganya kipochi manyoya kiwe mnato.
Na ukinyoa, tumia mkasi, usitoe yoote.
Kwa Me ndo ni kama mbole za kukaza misuli ya dhakari.
Una swali jingine??