Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Bustani hiyo, mi siyapendi zaidi ya kwapani.
Unayanyoa ya nini?? Unajiandaa na game??
Yaache yachanue, hayo ndo yanarutubisha kipochi manyoya.
Kitaalamu lile jashojasho likiingia kwa ndani huko ndo linaganya kipochi manyoya kiwe mnato.
Na ukinyoa, tumia mkasi, usitoe yoote.
Kwa Me ndo ni kama mbole za kukaza misuli ya dhakari.

Una swali jingine??
Uongo huu, ni uchafu. Lol
 
Kisayansi yanazuia michubuko inayotokana na mjongeo wa viungo vya mwili, usiniulize watoto mbona huwa hawana, nitakujibu watoto hawana shughuli nyingi sana hata kule chini hawajui kutumia panya kabisa hao, istoshe huko ndo kwenye msuguano mkubwa...
 
Mimi ninayo yale ya kishombe shombe aisee km kichaka cha mbudu 😹😹😹

Ukinyoa leo baada ya week yamejaa, nilijaribu waxing weeehh liliumuka km limetiwa amira..!! Km kuna dawa ya kusitisha yasiote hata mwaka wadau waeke yanakera..!! 😥😹
Hair Remover, ila harufu yake ni kaliii.
Inawasha pia baada ya muda fulani.
😂😂😂😂😂
 
Kisayansi, mavuzi ya sehemu za siri (nywele za kinena au nywele za sehemu za siri) yana kazi kadhaa muhimu:


  1. Ulinzi wa Ngozi na Mishipa Midogo
    • Yanapunguza msuguano kati ya ngozi wakati wa kutembea, kukaa au wakati wa tendo la ndoa.
    • Yanasaidia kulinda ngozi nyeti na mishipa midogo isikwaruzwe au kuumia.
  2. Kizuizi cha Vumbi na Vichafu
    • Yanachuja chembe ndogo za vumbi, bakteria, au uchafu mwingine usiingie moja kwa moja kwenye sehemu za siri.
  3. Udhibiti wa Unyevunyevu na Joto
    • Yanasaidia kuhifadhi kiwango fulani cha joto na unyevunyevu ili mazingira ya uke au ngozi ya kinena yabaki kwenye hali inayofaa kiafya.
  4. Kusambaza Feromoni
    • Nywele za kinena husaidia kunasa na kusambaza feromoni—kemikali za asili za mwili zinazohusiana na mvuto wa kijinsia.
  5. Kuepusha Magonjwa Madogo ya Ngozi
    • Kwa kupunguza msuguano na kulinda ngozi, mavuzi yanaweza kupunguza uwezekano wa kuwasha au maambukizi madogo madogo.

Kwa kifupi, mavuzi ya kinena sio mapambo tu; ni sehemu ya mfumo wa ulinzi wa mwili na huchangia afya ya ngozi na sehemu za siri.
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
 
Back
Top Bottom