Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Mavz ndiyo CHUPI YA ASILI ...Siku hizi teknolojia imeendelea hivyo kuna mavazi mazuri ya kujisitiri ndiyo imekufanya usijue umuhimu wake kwa sasa Mavz hayana umuhimu wowote ila zama za kale yalikuwa ni sehemu ya kifuniko kama unakumbuka babu zetu walivaa hadi nyasi kuongezea mavz
 
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda😂😂😂😂
 
Evelyn Salt ukweli ni kuwa mavz ni kama kucha. Yakiota lazima yanyolewe kama unavyokata kucha zikiota. Kwa mwanadamu ambaye hayanyoi huwa yakichanganyikana na jasho huleta harufu ya uvundo katika mapaja na kunuka kikwapa.

Mwanaume au mwanamke asiyenyoa ni mchafu TU.

Hivi unakumbuka uwoya mvuto na heshima yake vilipotea clip zake za Siri zilipovuja akiwa na mavzzz!
 
Hair Remover, ila harufu yake ni kaliii.
Inawasha pia baada ya muda fulani.
😂😂😂😂😂
Hiyo iliniuma sitaki kurudia tena 😹😹😹
Nilijimix ikaingia kwenye mashavu ndani weeehh nilikiloweka kwenye maji kwanza kipoe, km viwembe vimepita…!!

Niliapa sirudii tena.. 🤣
Mimi kitu cha kunipa maumivu hapana
 
Back
Top Bottom