Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mwanakwetu hamtishi watu 😹😹Namanua tu, si kazi yao.
Mimi huwa naenda wanitoe zile za pembeni pembeni kwenye mikunjo ila siyo kwenye kipochi, pia waondoe za mferejini 😎
Ni vile wanahitaji pesa ila wangewafurusha..!! 🤣