Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Mavz ndiyo CHUPI YA ASILI ...Siku hizi teknolojia imeendelea hivyo kuna mavazi mazuri ya kujisitiri ndiyo imekufanya usijue umuhimu wake kwa sasa Mavz hayana umuhimu wowote ila zama za kale yalikuwa ni sehemu ya kifuniko kama unakumbuka babu zetu walivaa hadi nyasi kuongezea mavz
Bora kipara kingekua kinaota na huku chini yaondoke bana
 
Kisayansi, mavuzi ya sehemu za siri (nywele za kinena au nywele za sehemu za siri) yana kazi kadhaa muhimu:


  1. Ulinzi wa Ngozi na Mishipa Midogo
    • Yanapunguza msuguano kati ya ngozi wakati wa kutembea, kukaa au wakati wa tendo la ndoa.
    • Yanasaidia kulinda ngozi nyeti na mishipa midogo isikwaruzwe au kuumia.
  2. Kizuizi cha Vumbi na Vichafu
    • Yanachuja chembe ndogo za vumbi, bakteria, au uchafu mwingine usiingie moja kwa moja kwenye sehemu za siri.
  3. Udhibiti wa Unyevunyevu na Joto
    • Yanasaidia kuhifadhi kiwango fulani cha joto na unyevunyevu ili mazingira ya uke au ngozi ya kinena yabaki kwenye hali inayofaa kiafya.
  4. Kusambaza Feromoni
    • Nywele za kinena husaidia kunasa na kusambaza feromoni—kemikali za asili za mwili zinazohusiana na mvuto wa kijinsia.
  5. Kuepusha Magonjwa Madogo ya Ngozi
    • Kwa kupunguza msuguano na kulinda ngozi, mavuzi yanaweza kupunguza uwezekano wa kuwasha au maambukizi madogo madogo.

Kwa kifupi, mavuzi ya kinena sio mapambo tu; ni sehemu ya mfumo wa ulinzi wa mwili na huchangia afya ya ngozi na sehemu za siri.
Vumbi litazuiwa na vyupi mi bado sijaona kazi yake haya mastili waya
 
Mimi ninayo yale ya kishombe shombe aisee km kichaka cha mbudu 😹😹😹

Ukinyoa leo baada ya week yamejaa, nilijaribu waxing weeehh liliumuka km limetiwa amira..!! Km kuna dawa ya kusitisha yasiote hata mwaka wadau waeke yanakera..!! 😥😹
Ulipata allergy? Au liliumuliwa na nini?
 
Back
Top Bottom