Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Babu toa code, nyie watu wa zamani hamkosi ujuzi wa kuyaondoa.
Hahaha.......wengi tuliozaliwa mwaka 47, kwasasa yamegoma kuota

Tumebaki na za kichwani tu 😜

Raha ya hizo nywele, unyolewe na mwenzi wako. Babu anamnyoa Bibi, then Bibi anamnyoa Babu

Kabla hamjaanza kusafishana, mnapiga kimoja

Mkimaliza, mnapiga cha pili

Bora tumezeeka sasa 🤗
 
Hutoa ulinzi wa kimwili ''physical protection'' kwa sehemu za siri kutokana na msuguano na majeraha,husaidia kudhibiti hali joto kwa kutoa jasho na hufanya kama kizuwizi dhidi ya bacteria na viini vya magonjwa ''barrier against bacteria and pathogens''
Pia yana jukumu katika afya ya ngono kwa kunasa na kusambaza pheromenos ili kuvutia wenzi na kwa kutumika kama ishara ya kuona ukomavu wa uzazi ''visual signal of reproductive maturity''

Evelyn Salt
Nimekuelewa hapo zaidi
 
Back
Top Bottom